Waislamu wa Tanzania hawaijui Dini yao?

Waislamu wa Tanzania hawaijui Dini yao?

Zanzibar hamna ushoga Bara ndio inaongoza kwa ushoga ? Hii ni kwa sababu Bara kuna wakristo wengi kuliko waislamu ,😂😂😂😂
Umesahau na Usagaji au nao ni Ushoga😁😁,Kun Mzee walimfumua enzi ni Mtawala Leo yupo yupo kama Zombi! hat
Kutajwa hatajwi! Wazanzibari Salamaleko!
 
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta.

Sasa kafariki Rais wa Iran (nchi yenye watu wanaoujua na kuuishi uislamu kukiko waislamu wa buza), amefariki tangu tarehe 19 na leo ni tarehe 22 bado hawajazika, wana aga tu, kesho ndiyo watazika.

Nataka mashehe wangu waje hapa waseme ni nani anaujua uislamu zaidi kati yao na hawa majamaa, ikumbukwe kuwa huyu mzee alikuwa kiongozi wa kidini tena yule mkereketwa, na Iran wana mpaka mchinjaji wa taifa anayechinja watu wanaokana uislamu na kufanya makosa mengine kinyume na sharia.
Na ww huna elimu wala maarifa yeyote kuusu Uislam wale Mashia wa Iran dini yao ni tofauti kabisa na Uislam tuko nao mbali kabisa sio ktk Ibada ya mazishi tu bali ibada zote tunatofautiana nao
 
Na ww huna elimu wala maarifa yeyote kuusu Uislam wale Mashia wa Iran dini yao ni tofauti kabisa na Uislam tuko nao mbali kabisa sio ktk Ibada ya mazishi tu bali ibada zote tunatofautiana nao
Waislamu wa buza mna matatizo sana, mnazika hadi walio zimia
 
Leo mnakana mashehe ubwabwa wanaosema ni haramu kuchelewesha mazishi?
Nionyeshe kweny Qur an ? Hayo ni mambo yaliyosisitizwa yafanyike haraka kama skuswali, ndoa na kuzika ...Yaani yana baraka ukifanya haraka .
 
Nionyeshe kweny Qur an ? Hayo ni mambo yaliyosisitizwa yafanyike haraka kama skuswali, ndoa na kuzika ...Yaani yana baraka ukifanya haraka .
Sasa qur an mi ntaitoa wapi shehe? Kitabu hicho ni kwaajili ya majini na wafuasi wengine wa allah na shoga wake aka mudi
 
Sasa qur an mi ntaitoa wapi shehe? Kitabu hicho ni kwaajili ya majini na wafuasi wengine wa allah na shoga wake aka mudi
Ndio maana unatakiwa kusoma ujue, kama jambo hauna elimu nalo kwa nn usiombe ufundishwe ...Fuatilia maziko ya mtume .

Sasa sikia maiti ikiwa na madeni tu haiwezi kuswaliwa wala kuzikwa mpaka ilipiwe hata ikae siku 3.
 
Kwahiyo maiti ya shehe wenu wa Iran ilikuwa na madeni? Mashehe ubwabwa wanatoa wapi nguvu ya kutia chumvi kwa kusema kuwa kuchekewesha maziko ni haramu?
 
Kwahiyo maiti ya shehe wenu wa Iran ilikuwa na madeni? Mashehe ubwabwa wanatoa wapi nguvu ya kutia chumvi kwa kusema kuwa kuchekewesha maziko ni haramu?
Nimekupa sababu moja wapo , basi tambua kuna sababu ndio maana wamechelewa , pia angalia tension juu ya uchunguzi wao .
 
Wale hawatenganishi dini na serikali (Iran).Wake serikali humohumo, Dini humohumo ndo maana kuna askari wanaofuatilia mambo ya morality ( can you imagine?).
Swali la mdau lina logic sana
Ukisoma history ya iran, 1905 -1911 walipata katiba yao ya kwanza. Idea was to limit power of monarch (wakati huo akiwa Mohammad Reza Pahlavi, who reigned as Shah from September 16, 1941). Wana goverment function ndio maana hawafuati sheria za dini 100%, kama wangekuwa wanafuata dini kama ilivyo wasingepiga kura, kusingekuwa na mawaziri wala rais. Sheikh mkuu angetosha.

Is why nasema in modern world dini pekee haitoshi kuendesha nchi. Even katiba yao ya sasa. Still ina vipengele kuhusu treatment ya viongozi wa nchi
Haijalishi dini yako once ukila kiapo you belong to the goverment mpaka kufa kwako
 
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta.

Sasa kafariki Rais wa Iran (nchi yenye watu wanaoujua na kuuishi uislamu kukiko waislamu wa buza), amefariki tangu tarehe 19 na leo ni tarehe 22 bado hawajazika, wana aga tu, kesho ndiyo watazika.

Nataka mashehe wangu waje hapa waseme ni nani anaujua uislamu zaidi kati yao na hawa majamaa, ikumbukwe kuwa huyu mzee alikuwa kiongozi wa kidini tena yule mkereketwa, na Iran wana mpaka mchinjaji wa taifa anayechinja watu wanaokana uislamu na kufanya makosa mengine kinyume na sharia.
Uislam na ukristo ni utamaduni tulioletewa!

Hatuwezi kuwa deep kuliko wao waliotuletea!
 
Lakini Iran ni nchi ya kidini, ni Islamic Republic. Serikali ni ya kidini. Theocracy.

Kwa hiyo point yako haina mashiko hapo.
do you realize this guys wana katiba na bunge?
Haowaongozwi 100% na kitabu cha dini
 
Hamna dini ya waarabu, Uislamu ni Dini ya ulimwengu mzima, na ni hasara kubwa kwa ntu yoyote kuchukuliwa na almouti akiwa bado ajasilimu.
🤣🤣🤣🤣
Binafsi bora kuwa mpagani kuliko kuwa muislam
 
do you realize this guys wana katiba na bunge?
Haowaongozwi 100% na kitabu cha dini
Katiba ya Iran inasema nchi ni ya Kiislamu na inaongozwa kwa sharia za Kiislamu.

From the Wiki

Sharia

Hassan Vakilian cites Article 4:

civil, penal financial, economic, administrative, cultural, military, political, and other laws and regulations must be based on Islamic criteria. This principle applies absolutely and generally to all articles of the Constitution as well as to all other laws and regulations…
 
Back
Top Bottom