Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,928
- 2,867
Kumbuka unaiongelea Jamuhuri ya Kiislam ya Iran…. So serikali yenyewe ni ya kiislam na inayoongozwa kwa mujibu wa kile kitabu.Wewe bhn usichokijua ni kwamba waweza muona mtu ni mwarabu na asiijue dini yake, Usichukilie kigezo cha kuwa yeye ni mwarabu then dini itakuwa imemkaa sana kichwani.
Tofautisha kati ya mtu aliyesoma dini na mtu mwenye asili ya uarabu. Huna content Mkuu, Plus kuwa yeye alikuwa Raisi wa Inchi so ni serikali ndo inahusika na mazishi yake
Hili swali lako mada yake ni pana sana sidhani kama hapa patatosha kukuelezea hadi uelewe.Nadhani baada ya kusafiri utakuwa umegundua kuwa kiarabu ni lugha kama lugha nyingine na haina hadhi yoyote kuzidi lugha nyingine duniani wala peponi.
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta.
Sasa kafariki Rais wa Iran (nchi yenye watu wanaoujua na kuuishi uislamu kukiko waislamu wa buza), amefariki tangu tarehe 19 na leo ni tarehe 22 bado hawajazika, wana aga tu, kesho ndiyo watazika.
Nataka mashehe wangu waje hapa waseme ni nani anaujua uislamu zaidi kati yao na hawa majamaa, ikumbukwe kuwa huyu mzee alikuwa kiongozi wa kidini tena yule mkereketwa, na Iran wana mpaka mchinjaji wa taifa anayechinja watu wanaokana uislamu na kufanya makosa mengine kinyume na sharia.
HaswaaaaHapo ndipo utajua dini ni siasa za kuungaunga za watu tu.
Kwa sababu zingekuwa neno la Mungu, kanuni zake zisingehitaji kubadilika na muda.
Sheheee, wewe, muhammad na allah mnakwama sana, leo mnawakana waislamu wenzenu?Kwanza, uislamu haufuatwi kutokana na kumuiga mtu fulani au taifa fulani, uislamu una muongozo wake ambao ni Qur'an na sunnah za mtume muhammad swala na amani ziwe juu yake, leo hii mtu katika mashekhe wanaoaminika kwa elimu akileta jambo la haramu sisi wanafunzi hatuwezi kumkubalia bali tutamtaka alete ushahidi ametoa wapi, sisi hatuna habari ya fulani kasema, amesema ametoa wapi?.
Pili, Iran inaongozwa na mashia na hawa sio waislamu na tumelikariri hili mara nyingi hapa jukwaani, hiyo ni dola inayosimamishwa kwa misingi ya kishia ijapokuwa watadai uislamu, na uislamu uko mbali mno na wao, bali sisi waislamu tumeshukuru mno kwa kifo cha rais ibraahiym raiysi kwasababu ni muhimili mkubwa miongoni mwa maadui wa uislamu umeanguka.
Mwisho acha wamuweke hata mwaka mzima sisi haituhusu na haitudhuru kitu kwasababu wao wameamua njia nyingine isiyokuwa njia ya Allah na mtume wake, na wamewadhuru sana waislamu kwa mbinu na uwezo wao kiuchumi, wamuweke mwezi mzima apigwe na baridi kwa kuanzia.
Vichekesho
Unajua Kiarabu? maana Allah anajua only one Language ambacho ni Kiarabu... Allah hata ukimuita Mjinga haelewi umeongea nini hana UwezoHamna dini ya waarabu, Uislamu ni Dini ya ulimwengu mzima, na ni hasara kubwa kwa ntu yoyote kuchukuliwa na almouti akiwa bado ajasilimu.
Wanapinga pombe ,Halafu mafichoni wanachokoana mave na kusuguana visima"!kama mama yako mzazi.
Hamnza unachotaka kujifunza zaidi ya kejeli kule zenji ndio maana mnachapwa 😛 😛 😛
Acha kupotosha ulimwegu upi wewe mmatumbi,uislamu ni wawaarabu ndio maana mnalazimishwa kufuata utamaduni wao mara mavazi,mara hina,mara taalabu pumbafu zenuHamna dini ya waarabu, Uislamu ni Dini ya ulimwengu mzima, na ni hasara kubwa kwa ntu yoyote kuchukuliwa na almouti akiwa bado ajasilimu.
Mkuu acha ukali, ukweli ndo huo hsmna Dini inao kubalika mbele ya Allah isipokua Uislamu tu, sasa hivi waarabu sio majority tena katika uislamu ata wa Africa wamesha wapita kwa idadi, wewe endelea kubisha shauri yako.Acha kupotosha ulimwegu upi wewe mmatumbi,uislamu ni wawaarabu ndio maana mnalazimishwa kufuata utamaduni wao mara mavazi,mara hina,mara taalabu pumbafu zenu
Kuna dini imekashfiwa hapo?Heshimu dini ya wenzako mzee maisha ndio haya haya.Tuishi kwa kupendana.
Dini yetu pia ina mapungufu kibaoo.
Uliuliza kwa kejeli au ulitaka kuelekezwa?.Sheheee, wewe, muhammad na allah mnakwama sana, leo mnawakana waislamu wenzenu?
Jibu hojaUliuliza kwa kejeli au ulitaka kuelekezwa?.
Mtu akifa nivema wataalamu wathibitishe, kuna watu wanazimia siku 5Maneno hayo aliyasema Mtume (S.A.W), tena alitaja mambo matatu hayatakiwi kucheleweshwa yakifika muda wake. Nayo ni swala, kuzika maiti na ndoa. Iran wameamua wenyewe kwa utashi wao kuchelewesha na si kaamba Uislamu ndiyo unafanya hibyo. Hayo ni maamuzi yao binafsi dini isihusishwe, ukawaulize wenyewe hao viongoxi wa dini wa huko tena dhehebu la shia wamechelewesha kwa sheria gani
Ushaoma mtu anayezimia nyayo zinabadilika kuwa njano? Ukiona hadi kazikwa jua imethibitika hana uhaiMtu akifa nivema wataalamu wathibitishe, kuna watu wanazimia siku 5
Aawapi, nivema wataalamu wathibitisheUshaoma mtu anayezimia nyayo zinabadilika kuwa njano? Ukiona hadi kazikwa jua imethibitika hana uhai