Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 366
Takwimu zako ni vais vesa mzee, fanya hata utafiti uchwara utapata exactly answer kuwa waislamu ni wengi kuliko nyinyi.Umelewa au umevuta!? Takwimu ya wapi hiyo kuwa Wakristo Tz ni 30%? Kwa Takwimu ya mwisho hapa nchini Wakristo ni 60% ya Watanzania wote, hizo takwimu za madrasa wapelekee hukohuko madrasa muendelee kujifariji.
Takwimu zako ni baridi vesa mzee, fanya hata utafiti uchwara utapata exactly answer kuwa waislamu ni wengi kuliko nyinyi.Umelewa au umevuta!? Takwimu ya wapi hiyo kuwa Wakristo Tz ni 30%? Kwa Takwimu ya mwisho hapa nchini Wakristo ni 60% ya Watanzania wote, hizo takwimu za madrasa wapelekee hukohuko madrasa muendelee kujifariji.
Natilia mashaka data zako mkuu! naomba source.Mmh Ufaransa ina wa kuristu 97% wamepokea ushogaa Watanzania wako 30% wakristu wamegomea ushogaa, kwahiyo wataka kuwafuata kwasbb ni wengi na wanajua ukristo kuzidi nyie huku,......?
Kwani unacho pinga ni 97% ya wa kuristo uko ufaransa au?Natilia mashaka data zako mkuu! naomba source.
Mashia sio waislamKwahiyo wa Iran wamefanya haramu?
Wakristo ni 20 % tu, na ndio maana mlipinga sana mlipoambiwa tuhesabiane kwa dini kwenye sensaUmelewa au umevuta!? Takwimu ya wapi hiyo kuwa Wakristo Tz ni 30%? Kwa Takwimu ya mwisho hapa nchini Wakristo ni 60% ya Watanzania wote, hizo takwimu za madrasa wapelekee hukohuko madrasa muendelee kujifariji.
Na hiyo 30% mkuuKwani unacho pinga ni 97% ya wa kuristo uko ufaransa au?
Kwani wewe unafikiri wakritu ni wengi, mfumo ukristu ndo unao wababa kwa kelele zao, kama wataka ukweli sema tufanye sensa utaona watakavo pinga, kwa kisingizio cha udini, miaka ya 60s. Wakoloni walivo hesabu waislam walikua 61% wa sio kua na dini 15% hapo wakristo inabaki ngapi? tena kila siku wanapungua tu......Na hiyo 30% mkuu
Sawa mkuu mimi naomba source tu ya hizi data nipate knowledge pia.Kwani wewe unafikiri wakritu ni wengi, mfumo ukristu ndo unao wababa kwa kelele zao, kama wataka ukweli sema tufanye sensa utaona watakavo pinga, kwa kisingizio cha udini, miaka ya 60s. Wakoloni walivo hesabu waislam walikua 61% wa sio kua na dini 15% hapo wakristo inabaki ngapi? tena kila siku wanapungua tu......
Mkuu neenda kwenye achreves neenda uangalie sensa ya wa koloni kabla ya Uhuru, utajionea mwenyewe.Sawa mkuu mimi naomba source tu ya hizi data nipate knowledge pia.
Hizi takwimu zako za Wakristo nchini Tanzania sio za kweli.Mmh Ufaransa ina wa kuristu 97% wamepokea ushogaa Watanzania wako 30% wakristu wamegomea ushogaa, kwahiyo wataka kuwafuata kwasbb ni wengi na wanajua ukristo kuzidi nyie huku,......?