Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 366
Takwimu zako ni vais vesa mzee, fanya hata utafiti uchwara utapata exactly answer kuwa waislamu ni wengi kuliko nyinyi.Umelewa au umevuta!? Takwimu ya wapi hiyo kuwa Wakristo Tz ni 30%? Kwa Takwimu ya mwisho hapa nchini Wakristo ni 60% ya Watanzania wote, hizo takwimu za madrasa wapelekee hukohuko madrasa muendelee kujifariji.