Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

Hili unatakiwa utuwekee ushahidi sababu katika soma yangu sinaona kitu kama hicho. Tutajie kitabu ambacho wewe umesoma hizi habari.

Kingine hii hadithi haipo kwa Imam Tirmidh, na huwa mnaiegemezea kwa Imam Ahmad pia. Sasa wewe tuambia hii rejea umeipata kwenye kitabu gani na kama umechukua mtandaoni tu sema. Usiogope sababu haya ni mambo ya kielimu.

Kingine hadithi hii ni dhaifu sababu haipo inapingana na Qur'aan.

Katika Jami'u Tirmodh hukuti hadithi namba 38 kuwa ni hii.
 
Hahaha nimecheka sana, hii hadithi mara ya kwanza uliiweka ulipo kuwa unataka kuonyesha ya kuwa Mtume ni mbaguzi. Hili ndiyo lilikuwa lengo lako, sasa nilivyo onyesha ya kuwa wewe ni muongo na hadithi haionyeshi ubaguzi, ukaja na kipande kingine, ndiyo maana nikasema hivi weka marejeo ya hiyo hadithi nyingine kuonyesha mbwa ni mashetani, na hukuti mtume akisema kavu kavu kiwa Mbwa weusi ni Mashetani.

Sasa jikite kwenye lengo na msingi wa mada kijana. Mimi nakwambia hivi mpaka unakufa huwezi kuonyesha ubaguzi kwa Mtume.
 
Lazima ukatae andiko maana ni aibu kubwa
 
Kijaa unanipotezea muda sasa, unaruka ruka sana hutulii na jambo moja na hujibu maswali.
 
Lazima ukatae andiko maana ni aibu kubwa
Sasa nakataaje andiko wakati vitabu tunavyo wewe tuonyeshe tu kwamba hii hadithi umeipata wapi ? Sababu tunayo mapokezi mengine. Usiwe na harakq, yaani Hadithi kadhalika zimehifadhiwa kama Qur'aan yaani ukiingiza ka kwako na la uongo tunajua.

Sasa tuambie hii hadithi umeitoa kwenye kitabu gani ? Kama umeitoa mtandaoni sema tu, maana huwa mnainasibisha na Imam Ahmad kadhalika.
 
Kijaa unanipotezea muda sasa, unaruka ruka sana hutulii na jambo moja na hujibu maswali.
Nikisha toa point naenda nyingine so Rudi nyuma , kazi ni kuonesha black color Haina maana mbele ya Allah na muhammad
 
Huoni Hadith name na number
 
Nikisha toa point naenda nyingine so Rudi nyuma , kazi ni kuonesha black color Haina maana mbele ya Allah na muhammad
Maana yake siyo ubaguzi tena ? Ingekuwa haina maana asingeiumba. Naona huna hoja tena, una ruka ruka.

Nasubiri majibu ya maswali yangu.
 
Maana yake siyo ubaguzi tena ? Ingekuwa haina maana asingeiumba. Naona huna hoja tena, una ruka ruka.

Nasubiri majibu ya maswali yangu.
Achana na huyu mjinga ana id tatu humu
anajiita
1.mgeni
2.Spensa e
3.Mokiti
zote hizo id zake ni mtu.mjinga tena zaidi ya mjinga tu uyo achana nae
 
Achana na huyu mjinga ana id tatu humu
anajiita
1.mgeni
2.Spensa e
3.Mokiti
zote hizo id zake ni mtu.mjinga tena zaidi ya mjinga tu uyo achana nae
Account yangu ni moja na unaujua mziki wangu, wewe unanikimbia kila ukiniona kwenye uzi
 
Naongelea ile ya Mbwa weusi kuwa ni Shetani. Ulisahau kutuwekea namba ya hadithi na kitabu.
Sitaki kuamini kwamba hajui mafundisho ya muhammad alisema mbwa weusi wote ni mashetani na popote unapo mkuta mtoe uhai, nenda kasome ni aibu hii kama hujui
 
Achana na huyu mjinga ana id tatu humu
anajiita
1.mgeni
2.Spensa e
3.Mokiti
zote hizo id zake ni mtu.mjinga tena zaidi ya mjinga tu uyo achana nae
Ulocho Andika ni sifa mojawapo ya mnafiki "UONGO"
Kama sio Muongo hicho ulicho Andika weka Ushahidi!
Kisha Apa sema walahi wabilahi watalahi nilicho Andika ni Kweli![emoji101]
 
Account yangu ni moja na unaujua mziki wangu, wewe unanikimbia kila ukiniona kwenye uzi
Watu wengine wanakupuuza wanaamua kuachana na wewe. Usianze kujifaragua na elimu na hauna kitu kichwani.
 
Sitaki kuamini kwamba hajui mafundisho ya muhammad alisema mbwa weusi wote ni mashetani na popote unapo mkuta mtoe uhai, nenda kasome ni aibu hii kama hujui
Usikimbie hoja ya msingi. Umetoka kwenye suala la ubaguzi limekushinda unaruka tena kwenye suala la Mbwa.

Unapotezea watu muda.
 
Watu wengine wanakupuuza wanaamua kuachana na wewe. Usianze kujifaragua na elimu na hauna kitu kichwani.
Elimu ya Uislamu hunikuti hata robo , umeona mwenyewe nakufundishaga mara nyingi humu , Hadith nyingi hujui , Tafsir huzijui na Koran nina mashaka kama ata robo umekariri
 
Elimu ya Uislamu hunikuti hata robo , umeona mwenyewe nakufundishaga mara nyingi humu , Hadith nyingi hujui , Tafsir huzijui na Koran nina mashaka kama ata robo umekariri
Maana ya "Kufundisha" itakuwa imebadilika sasa.

Japo mimi bado ni mwanafunzi tena mdogo sana katika Uislamu, huna uwezo wa kunifundisha na hujawahi kunifundisha, sababu huna cha kunifundisha.
 
Usikimbie hoja ya msingi. Umetoka kwenye suala la ubaguzi limekushinda unaruka tena kwenye suala la Mbwa.

Unapotezea watu muda.
Mbwa nimeonesha ubaguzi wa wazi wa rangi , nenda kasome , muhammad aliulizwa kwa nini tusiue mbwa wa rangi nyingine , yeye akasema weusi ndio mashetani , unaweza jibu kwa nini mbwa mweusi tu wawe mashetani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…