Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

RACISM.
Bahati mbaya Sana kwenye UISLAM hicho kitu HAKIPO
Mjinga...
Inabidi tuwasomeshe hawa ndugu zetu historia ya Uislam.
Mtume SAW anaogoza sala nyuma yake kasimama Bilal, mtu mweusi kutoka Ethiopia.

Mpaka 1964 Amerika mtu mweusi alikuwa hawezi kuingia kanisa la watu weupe.
Maskini ya Mungu hawajui historia chuki dhidi ya Uslam zimewatia upofu.
 
Avo...
Kwa nini unataka kujadili jambo usilolijua?
Istiqama wana shule na hospitali nyingi hapa Tanzania.

Waislam wamekuwa wakijenga misikiti yao toka aza.
Naona tabu kueleza nani waliojenga makanisa hapa Tanganyika.

Sipendi mabishano yasiyo na tija.
Uislam hauna mgeni sote ni ndugu hayo ndiyo mafunzo yetu.

Wenye hali nzuri Uislam unawafunza wakunjue mikono kwa wale wasiokuwanacho.
Si kwa kujenga misikiti tu bali kwa kutoa kila aina ya msaada.
 
Wakuu msiangalie rangi, miongoni mwa hao waliopiga picha na Hangaya kuna wahaya wa Kamachumu, Kishanda na Kyabagenzi kwa Arub Nassor ni wahaya wenye asili ya Oman..hata kiswahili wengine hawajuhi ni kihaya tu kwa kwenda mbele!
Karibu Kishanda ukaoe muarabu wapo wengi!
 
Wameletwa ndugu zao kutawala nchi yetu. Sijawahi wafurahia hawa waarabu
Na hutawafurahia kamwe! Jichanganye kwenye mahusiano na Ke wa kiarabu ndipo utajua kuwa hujui.

Yani watakutafuta kwa udi na uvumba kukutoa makende na roho yako hata kama una mawe kiasi gani sababu huwa wanatuona waafrika ni nyani au kenge wa bluu tu.

Sijui kama akili zetu zina afya katika bongo maana si kwa kujipendekeza kote huko kujiita Waarabu weusi ili tukubalike lakini tunaishia kuonekana kinyesi tu kwao.
 
kwani wawakilishi wa Kagera wanatambulika kwa rangi zao? umejuaje katika waliopo kwny picha hakuna mwakilishi?

'…Tuliwakataa Makaburu kwa ubaguzi wao sio kwa rangi zao…'-JK Nyerere
To be honest hilo kosa kwenye hiyo picha watakuwa wameliona baada ya picha kuwekwa JF,Hata kama ni watu wa Oman wamejenga ingependeza wangechukuliwa wawakilishi kadhaa wa kagera .
 
Kama hadi leo hujui au huja experience faida ya kuja hizi dini Africa unapaswa kupewa pole sana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…