Waislamu Waafrika waliosoma madrasa wanaweza kuongea lugha ya kiarabu kwa ufasaha na weledi?

Dr. Zakir Naik hakutenda haki, wengi walikosa kufaidika vilivyo na mihadhara yake kutokana na changamoto ya lugha za kimataifa inayoikabili umma mpana wa waTanzania.
Kuna mtu mmoja ile siku ya kwanza ilivofika kwenye maswali, alisema yeye hana swali ila ana ombi kwamba kwa lecture zinazofata next day kuwe na mkalimani ili watanzania wengi wanufaike maana english wengi imepita pembeni.
ZAkir akauliza wangapi wanaelewa english watu wakanyoosha mikono wengi wengi akamwambia muuliza swali you see, watu wanaelewa na hawezi poteza muda wa mkalimani maana kama lecture ni ya masaa 3 maana yake itakua masaa 6.
NIkaona Zakir naik pamoja na waandaaji wote hawakujipanga. Maana naamini wale waloenda siku ya kwanza walishajichuja wanaoelewa lugha(English) ndo walienda.

Language ni mzozo.

Hapa hapa nichukue fursa ya kuchangia hoja ya Abu Miqdad
mimi sina tatizo na uyo yaeleza ila waumini wengi wanakubwa na tatizo la lugha na hasa katika uislam kwasababu ya kuibakisha katika kiarabu kama lugha kuu,
Kama ilivo sifa kwamba muumini anaweza toka finland akaenda kuongoza ibada thailand. Yapasa kuasifa vilevile kua na mkakati wa waumini kufahamu kiarabu ili kuelewa kwa urahisi maandiko

Hata huyu Zakir Naik alienda kenya kama sio uganda alikua na topic hiyo ya waumini kujifunza kiarabu ( na faida za kufanya hivo)

Kwa imani zingine ambazo watu wamesha translate moja kwa moja kwenda lugha mbalimbali(yani mfano budhism ipo kwa kiswahili moja kwa moja full) hata huko walobobea katika imani hizo wanawashauri waumini kujifunza lugha original ya hiyo imani na kuisoma katika lugha original ilikuelewa kwa ufasaha zaidi misamiati pamoja na muktadha kwa ujumla

My opinion: viongozi pamoja na waumini wakae kuangalia wanatatuaje tatizo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…