Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!


Waumini wagumu kulipia kodi ya ardhi.

Unaweza kukuta hapo wanadaiwa kodi za ardhi ya huo msikiti tangu uhuru mpaka leo hawajawai kulipia

Hapo ndipo bakwata wakapata advantage
 
Ndiyo kazi yao hii@ Faiza Foxy, mkitoka hapo mnagombania tende na nyama za ngamia. Badala ya kujenga hospital, mashule na taasis nyingine za kuhudumia jamii, wao wanagombani flame za maduka zilizojengwa kuzunguka msikiti tena katikati ya makazi ya watu!! Wakitoka hapo lawama kwa Katoliki.
 
Waumini wagumu kulipia kodi ya ardhi.

Unaweza kukuta hapo wanadaiwa kodi za ardhi ya huo msikiti tangu uhuru mpaka leo hawajawai kulipia

Hapo ndipo bakwata wakapata advantage
exactly...hii watashindwa
 
Kanisa Katoliki Takatifu la Mitume, huwezi sikia huu upuuzi
 
Maostaaadh ngumi wanazirusha bhana nakumbuka tanga miaka hiyo si kuna mwizi alijichanganya akaiba makobazi msikitini wakamdaka..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bwana bwana unaambiwa walivyo wachoyo wakajifungia nae msikitini wapige wenyewe huku nje tunasikia tu puuuu,tiii tiii ,ngwee ngwee vilemba vinaruka hewani kanzu zimekunjwa huyu akirusha teke la karate huyu karusha ngumi basi heka heka mtindo mmoja mwizi kuja kutolewa kawa mnene uso wote(kavimba) hata kutema mate hawezi.. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Balaa zito.

Nahisi huo msikiti upo mjini na una fremu za kutosha.

Nani apokee Kodi za fremu za msikiti ndio sababu kuu ya ugomvi.
Kwa hiyo na uislam nao umegeuka biashara kama wagalatia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…