Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!

Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!

Conditions for renewal of right of occupancy upon expiry:
The conditions include complying with the land use conditions and payment of theannual nominal land rent due to the Government, as per section 34 of the LandAct. Under section 32 (3) of the Land Act, a right of occupancy is is renewableupon expiration of the granted term, on terms and conditions to be determined,so long as all conditions relating to the earlier right of occupancy were adhered to.

sasa je waumini hao walitimiza masharti ya renwal? Imekula kwao!

Waumini wagumu kulipia kodi ya ardhi.

Unaweza kukuta hapo wanadaiwa kodi za ardhi ya huo msikiti tangu uhuru mpaka leo hawajawai kulipia

Hapo ndipo bakwata wakapata advantage
 
Vurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake

Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza

Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi

Source: Iqra FM radio Mwanza
Ndiyo kazi yao hii@ Faiza Foxy, mkitoka hapo mnagombania tende na nyama za ngamia. Badala ya kujenga hospital, mashule na taasis nyingine za kuhudumia jamii, wao wanagombani flame za maduka zilizojengwa kuzunguka msikiti tena katikati ya makazi ya watu!! Wakitoka hapo lawama kwa Katoliki.
 
Waumini wagumu kulipia kodi ya ardhi.

Unaweza kukuta hapo wanadaiwa kodi za ardhi ya huo msikiti tangu uhuru mpaka leo hawajawai kulipia

Hapo ndipo bakwata wakapata advantage
exactly...hii watashindwa
 
Vurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake

Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza

Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi

Source: Iqra FM radio Mwanza
Kanisa Katoliki Takatifu la Mitume, huwezi sikia huu upuuzi
 
Maostaaadh ngumi wanazirusha bhana nakumbuka tanga miaka hiyo si kuna mwizi alijichanganya akaiba makobazi msikitini wakamdaka..😂😂😂 bwana bwana unaambiwa walivyo wachoyo wakajifungia nae msikitini wapige wenyewe huku nje tunasikia tu puuuu,tiii tiii ,ngwee ngwee vilemba vinaruka hewani kanzu zimekunjwa huyu akirusha teke la karate huyu karusha ngumi basi heka heka mtindo mmoja mwizi kuja kutolewa kawa mnene uso wote(kavimba) hata kutema mate hawezi.. 😂😂
 
Balaa zito.

Nahisi huo msikiti upo mjini na una fremu za kutosha.

Nani apokee Kodi za fremu za msikiti ndio sababu kuu ya ugomvi.
Kwa hiyo na uislam nao umegeuka biashara kama wagalatia?
 
Back
Top Bottom