Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!

Hivi BAKWATA inaanzia wapi na kuishia wapi ndani ya waislam? Je kuna utaratibu wa kujiunga na BAKWATA kwa waislam?
Kama BAKWATA haijumuishi waislam inatoa wapi nguvu ya kujiita baraza la waislam Tanzania?
Nani alieianzisha BAKWATA? Kwa ajili ya watu gani sasa.
 
Kwaufupi ugomvi wa uongozi kwa waislam hautaisha.
Kwasababu muhamad SAW, kuna makosa alifanya inawezekana bila ya kujua.
pamoja sentence yangu hii ukiitamka msikitini wanaweza hata kukuchinja ila ukweli usemwe.
Mtume alipokalibia kuondoka duniani aliacha usia wake kwa swahaba wake namba moja abbu bakari nafikili, aliwaachia majukumu ya ukuu kwa kulithishana..yani akitoka abbu, apokee mwingine akitoka mwingine aingie mwingine.
Tatizo likaanzia hapo.
Maswahaba ote wanne wale walioachiwa majuku kwa mtindi huo, vifo vyao vya kuawa kwa kuchomwa majambia.sasa hii inaonyesha ni hila za wao wenyewe kua akitoka fulani nitakujs mimi nitaongoza.
Sasa hadi leo misikitini maugomvi ya uongozi hayaishi kalibu kila msikiti duniani kote.
Vigezo vya kupata ushehe wa kuongoza msikiti ni ELIMU, UMRI au BUSARA za mtu.
Sasa asaivi wenye elimu ni wengi...kila mtu anamzalau mwenzie kua hana elimu kama yeye na anakundi lake nyuma lina msaport..kwanini wasiunde kampeni za kumuondoa alioko hapo.
Ndio unakuta zinapigwa nk.
 
Ngumi nyingine nimezikuta Mpanda mjini mwezi uliopita wakigombea Msikiti.
 
Ngumi mnazijua au wamepigiana kelele za hasira tu za takbir takbir…
 
dah mambo magumu haya yahitaji utulivu mno kuyaweka sawa
 
FaizaFoxy
 
Naufaham huo msikiti pale kwa Ally said, ila hawa watu 🤔🤔
 
Habari bila picha hainogi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…