Waislamu wanaruhusiwa (HALAL) kula FISI NA MIJUSI. Lakini Nguruwe ni kharamu

Waislamu wanaruhusiwa (HALAL) kula FISI NA MIJUSI. Lakini Nguruwe ni kharamu

Nashangaa Wakristo wa Jf wanahangaika sana na mambo ya Waislamu kuliko Waislamu wenyewe.

Si uhuru wao na dini yao wewe unapungukiwa na nini ikiwa hivyo ?

Kwani kaongea kwa ubaya? Si anatukumbusha sisi Umma? Kumbuka mimi role model wangu ni Muhamad mpaka sasa. Naanza kutafuta nyama ya Fisi.
 
kabisaa,, maana watu wanapenda kushadadia imani zisizo wahusu sijui wanapata furaha gani

Tuliza kipago. Unashadadia uzi usiokuhusu. Jukwa huru mtu anaandika anachojisikia. Kwa mimi sitaacha. Kama ukiona kitu hukielewi achana nacho nenda kaoshe... Usipite pite hapa mbele ukitoa harufu.
 
Sisi Amanu tumekatazwa na Allah kula vitu hivi tu:

5:3 - "Mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu. Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu. Leo walio kufuru wamekata tamaa na Dini yenu;
basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu."

Ila Mwenye kushurutishwa na njaa ale tu, bila ya kupendelea dhambi 🤣🤣🤣
Mudi ni Kiboko ya Poti aieseeh
Hivi unakulaje chakula ukiwa umeshiba...!
 
Waislamu tunaruhusiwa kula FISI na MIJUSI hao ni HALAL kabisa

Hadithi inayoelezea hivyo ni riwaya ya Sayyidina Jabir ibn Abdullah (RA) kuhusu uwindaji na kula fisi, na ipo katika makusanyo ya hadithi ya Kiislamu.

Muhtasari wa tukio
Sayyidina Ibn Ammar (RA) alimwuliza Jabir ibn Abdullah (RA) kuhusu uwindaji wa fisi.
Jabir (RA) alisema:

_“Inaruhusiwa kuwinda fisi.”
Kisha Ibn Ammar (RA) aliuliza: “Je, tunaruhusiwa kula fisi?”
Jabir (RA) alijibu: “Kula fisi ni Halal.”_

Baada ya kuuliza tena, alithibitishwa kuwa Nabii Muhamad aliruhusu kula fisi.

Maelezo muhimu
Kula fisi ni halali (halal) kwa mujibu wa riwaya hizi, kwani Nabii Muhamad alithibitisha.

Baada ya tukio hili linaonesha kwamba uhalal wa kula wanyama fulani unategemea idhini ya Nabii Muhamad na mtazamo wa Sheria ya Kiislamu.

Hadithi inapatikana katika vitabu vifuatavyo.

Sunan Ibn Majah (Hadith 3236)
Sunan an‑Nasai (Hadith 4323)
Sunan Abu Dawud (Hadith 3801)

Maandishi ya hadithi
Riwaya ina sema hivi (kwa muhtasari):
“Ibn Abi ‘Ammar aliuliza Jābir bin ‘Abdullah (RA): ‘Je, fisi (ḍab‘) ni kitu kinachoweza kuwindiwa?’
Jābir akasema: ‘Ndiyo.’
Akauliza: ‘Na je, tunaweza kula nyama yake?’
Akasema: ‘Ndiyo.’
Akauliza tena: ‘Je, hii ni yale uliyosikia kutoka kwa Mtume wa Allah (SAW)?’
Jābir akasema: ‘Ndiyo.’”
Naona Sasa mmeamua kujifanya waislam Ili mudanganyane vizuri

Shida yote hiyo ni ya nini wameshindwa makafiri wakubwa wakubwa kuucgalenji uislam itakuwa nyinyi vikafiri vidogo vidogo

Kama kweli nyinyi mnataka kupata uzima wa milele hakuna namna nyingine zaidi ya kuwa waislam

Maana nyinyi wagalatia mnaanudu miungu 3 tena ni miungu ya uongo

Mungu atakuingizeni Jahanam alafu atakuambieni waambieni hao miungu yenu mliyokuwa mnaiabudu ikutoeni humo Jahanam hapo ndipo mtakapojikuta mnaishi Jahanam milele
 
Tunapata Ilim ndugu yangu.
Si mlisema Uislam umenyoooka.

Sasa hebu jibu hili la Fisi.
Hapa ameruhusiwa 👇👇👇
PhotoCollage_1771914751727.jpg

Ila hapa mnyama anayekula nyama na anayewinda amekatwazwa.
👇👇👇👇
PhotoCollage_1771914255860.jpg

Haya tuambie sheikh . Hapa Tushike Lipi?.
Au Fisi wa Makka wanakula majani?.

NB;
Nilisema sibishan dini had kwaresma iishe. Ila cant keep calm. Muione for reference.
Jagina Al-mukheef na Covax .

For reference tu . Huko mbelen tutajadiliana.
 
Tunapata Ilim ndugu yangu.
Si mlisema Uislam umenyoooka.

Sasa hebu jibu hili la Fisi.
Hapa ameruhusiwa 👇👇👇
View attachment 3547864

Ila hapa mnyama anayekula nyama na anayewinda amekatwazwa.
👇👇👇👇View attachment 3547867

Haya tuambie sheikh . Hapa Tushike Lipi?.
Au Fisi wa Makka wanakula majani?.

NB;
Nilisema sibishan dini had kwaresma iishe. Ila cant keep calm. Muione for reference.
Jagina Al-mukheef na Covax .

For reference tu . Huko mbelen tutajadiliana.
Aya gani ndani ya Quran fisi ni halali kuliwa?
 
Aya gani ndani ya Quran fisi ni halali kuliwa?

ziko kwenye hadithi. Au vitu vilivyoko kwenye hadith zenu mnavikataa?.
Moja inasema mmle na moja inasema msimle.

Yaan zinagongana zenyewe.

NB:- nitaluletea mambo lukuki ambayo hayako kwa Quran ila mnafanya. Kwahiyo kabla ya kukana hadithi ufikirie hilo mara 2 mbili.

Tutaanzia na kubusu jiwe. Kuzunguka kaaba mara 7. Kumpiga jiwe shetani. Zile sunnah za mtume. Kwa machache yaliyo mengi
 
Back
Top Bottom