Waislamu wanaruhusiwa (HALAL) kula FISI NA MIJUSI. Lakini Nguruwe ni kharamu

Nashangaa Wakristo wa Jf wanahangaika sana na mambo ya Waislamu kuliko Waislamu wenyewe.

Si uhuru wao na dini yao wewe unapungukiwa na nini ikiwa hivyo ?

Kwani kaongea kwa ubaya? Si anatukumbusha sisi Umma? Kumbuka mimi role model wangu ni Muhamad mpaka sasa. Naanza kutafuta nyama ya Fisi.
 
kabisaa,, maana watu wanapenda kushadadia imani zisizo wahusu sijui wanapata furaha gani

Tuliza kipago. Unashadadia uzi usiokuhusu. Jukwa huru mtu anaandika anachojisikia. Kwa mimi sitaacha. Kama ukiona kitu hukielewi achana nacho nenda kaoshe... Usipite pite hapa mbele ukitoa harufu.
 
Sisi Amanu tumekatazwa na Allah kula vitu hivi tu:

5:3 - "Mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu. Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu. Leo walio kufuru wamekata tamaa na Dini yenu;
basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu."

Ila Mwenye kushurutishwa na njaa ale tu, bila ya kupendelea dhambi 🤣🤣🤣
Mudi ni Kiboko ya Poti aieseeh
Hivi unakulaje chakula ukiwa umeshiba...!
 
Naona Sasa mmeamua kujifanya waislam Ili mudanganyane vizuri

Shida yote hiyo ni ya nini wameshindwa makafiri wakubwa wakubwa kuucgalenji uislam itakuwa nyinyi vikafiri vidogo vidogo

Kama kweli nyinyi mnataka kupata uzima wa milele hakuna namna nyingine zaidi ya kuwa waislam

Maana nyinyi wagalatia mnaanudu miungu 3 tena ni miungu ya uongo

Mungu atakuingizeni Jahanam alafu atakuambieni waambieni hao miungu yenu mliyokuwa mnaiabudu ikutoeni humo Jahanam hapo ndipo mtakapojikuta mnaishi Jahanam milele
 

Tunapata Ilim ndugu yangu.
Si mlisema Uislam umenyoooka.

Sasa hebu jibu hili la Fisi.
Hapa ameruhusiwa 👇👇👇



Ila hapa mnyama anayekula nyama na anayewinda amekatwazwa.
👇👇👇👇

Haya tuambie sheikh . Hapa Tushike Lipi?.
Au Fisi wa Makka wanakula majani?.

NB;
Nilisema sibishan dini had kwaresma iishe. Ila cant keep calm. Muione for reference.
Jagina Al-mukheef na Covax .

For reference tu . Huko mbelen tutajadiliana.
 
Aya gani ndani ya Quran fisi ni halali kuliwa?
 
Aya gani ndani ya Quran fisi ni halali kuliwa?

ziko kwenye hadithi. Au vitu vilivyoko kwenye hadith zenu mnavikataa?.
Moja inasema mmle na moja inasema msimle.

Yaan zinagongana zenyewe.

NB:- nitaluletea mambo lukuki ambayo hayako kwa Quran ila mnafanya. Kwahiyo kabla ya kukana hadithi ufikirie hilo mara 2 mbili.

Tutaanzia na kubusu jiwe. Kuzunguka kaaba mara 7. Kumpiga jiwe shetani. Zile sunnah za mtume. Kwa machache yaliyo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…