Waislamu wanatubeba sana!!

Nitajie muislamu aliyevunja nyumba ya mtu kwa kiburi au aliyetia maiti za raia wake kwenye sandarusi ukiacha rais amini wa Uganda tu.
Marais wote makatili Ni wakristu Kama Mobutu, Nguema, na huyo na wengine
Mkuu, Mobutu Seseseko alikuwa mpagani siyo mkristo
 
mali zao unajua walikopata? ili uwe muislamu kamili lazima uwe na majini ndani ya nyumba
 
Huyu ni Faizafoxy
 
Elezea kwa undani mkuu
Achana na wahindi na waarabu wewe Fanya utafiti kidogo,,,nenda Sehemu yoyote yenye hizi dini mbili (eg. Tanga,Dar,Morogoro,Kigoma) then angalia ni watu gani wanaishi maisha magumu ya kushindwa kusomesha, kula vizuri, kuvaa vizuri, makazi nakadhalika
 
Uislamu haujakataza kufuga mbwa.
 
uongo kupita kiasi lete ushahidi.
chukua mfano mdogo tu siku ya ijumaa matajiri wa kiislam wanavyo lisha masikini mijini. Utayapata hayo jumapili?
Tumesikia zahanati + hospitali za kikristo, za kiislam zipo?
 
Mbona hakuna sehemu nimetaja dini nyingine tofauti na Uislamu?

Na nimeutaja kwa kuusifia. Nimefanya vibaya kuusifia Uislamu na Waislamu wenyewe!!?
Ukisifia waislam kumbuka Wakristo, Rastafarian na wapagane hawatafurahi hivyo watasema wajitenge na hao watu na ubaguzi kuanza.
 
Utajua hujui kwa wafia msalaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…