25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Udini upo sana na ukabila na ukanda unakataa jambo ambalo limo moyoni mwakoNchi hii hatuna udini,tuna utaifa,itoshe kusema kuwa watanzania hao wanafanya vyema kuipeperusha nchi na siyo kanisa wala msikiti