Waislamu wanatubeba sana!!

Ndo maana TEC imeamua kujiunga na CCT 'and alike' kujitambulisha kama wao ni WakristO na kuachana na makao makuu ya WakristU.
 
Aisee kama kweli una mtoto anaitwa debora baas hana mama kwa kwel!! Ww ni kati ya wamama wajinga kabisaa kuja na hii mada ya kuanza kuwagawa watu kisa dini!
Wapuuzi kama nyie hampaswii kuikanyaga hii ardhi ya tz. Inabd uende central africa kule wanapouama wakristo kwa waislam.
 
Hueleweki!
 
Pia ni waislamu ndio wanaoongoza kwa kulalamika kuwa wanaonewa na hawapewi fursa za msingi ndani ya nchi,,na pia wanadai kwenye mitihani mingi ya shule na vyuo wanafelishwa ,,hili nalo likoje
 
Pia ni waislamu ndio wanaoongoza kwa kulalamika kuwa wanaonewa na hawapewi fursa za msingi ndani ya nchi,,na pia wanadai kwenye mitihani mingi ya shule na vyuo wanafelishwa ,,hili nalo likoje
Vp hii ina ukweli Top leader

Ova
 
Ukweli Ni kwamba Kuna watu wengi sana Wana majina yanayoendana na ya waislamu lkn watu hao sio waislamu.
Hivi unaweza kusema Naseeb nimuislamu ?
Uislam unaruhusu kufuga mbwa?
Uislam unaruhusu kuchukua mke wa mtu?
Uislam unaruhusu wizi au kutembea na kina delicious?
 
Waislamu Kuna kitu wametuzidi wakristo na inabidi tujitafakari sana matendo Yao, mie Mkristo ila huwa na enjoy utawala wa Waislamu, huwa hawana mambo ya hovyo hovyo hivi tofauti na sie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…