Waislamu wanavyopitia hukumu ya Pilato huko Palestina na India

Waislamu wanavyopitia hukumu ya Pilato huko Palestina na India

Fujo za kidini huko Palestina na India zimekuwa na athari kubwa kwa jamii ya Waislamu, zikichangia matatizo makubwa ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hali hizi ni matokeo ya mizozo ya muda mrefu, ambapo Waislamu mara nyingi wanajikuta katika hali ngumu ya kimaisha kutokana na changamoto za kimaadili, kisiasa, na hata kiusalama;

WAISLAMU Vs WAYAHUDI

Huu mgogoro unafahamika ulimwenguni, nami nitauelezea kwa uchache. Mgogoro wa Israel na Palestina umeendelea kwa miongo kadhaa, ukihusisha vita, ukaliaji wa ardhi, na migogoro ya kidini na kisiasa kati ya Wayahudi na Waislamu. Fujo hizi zimesababisha Waislamu wengi wa Palestina kupoteza ardhi zao, makaazi, na haki zao za msingi. Ukandamizaji wa kijeshi na vikwazo vya kiuchumi pia umechangia kuzorota kwa hali ya maisha.

Miundombinu ya afya, elimu, na huduma za msingi imeharibiwa katika maeneo mengi ya Palestina, hasa Gaza.

Vikwazo vya kiuchumi na ukaliaji wa ardhi vimezuia maendeleo ya kiuchumi, na kusababisha kiwango cha juu cha umaskini.

Waislamu wa Palestina mara nyingi hukumbana na vikwazo katika kutekeleza ibada zao, hasa katika maeneo ya kidini kama Msikiti wa Al-Aqsa. Na hii ni kutokana na wao kugombania ardhi inayoaminika kuwa ni yao kutoka enzi za manabii.
Vita kati ya Waislamu na Wayahudi imesababisha vifo na vilema kwa maelfu ya watu huko Gaza na Maeneo jirani.


WAISLAMU Vs WAHINDU

Enzi za utawala wa dola ya Mughals (1526-1857), dola la Mughal lilitawala sehemu kubwa ya India kwa karne kadhaa. Ingawa watawala wa Mughal walikuwa Waislamu, walijitahidi kuunda utawala wa kidini wa mseto. Hata hivyo, baadhi ya viongozi wa Wahindu waliona utawala wa Mughal kama uvamizi wa Kiislamu, jambo lililopanda mbegu za chuki.
Baadae uliingia Utawala wa Kiingereza (1858-1947).
Waingereza walitumia mbinu ya "gawanya na utawale" (divide and rule), kuchochea migawanyiko ya kidini kati ya Wahindu na Waislamu ili kuimarisha utawala wao. Matumizi ya sera hizi yaliongeza chuki na kuimarisha migawanyiko iliyokuwepo.

Wakati India ilipopata uhuru kutoka kwa Uingereza, taifa la India liligawanywa katika nchi mbili: India (ambayo kimsingi ni ya Wahindu) na Pakistan (kwa Waislamu). Mgawanyiko huu uliambatana na vurugu kubwa ambapo mamilioni ya watu walilazimishwa kuhama, na maelfu kuuawa katika mapigano ya kidini. Ukosefu wa maridhiano baada ya mgawanyiko huu ulisababisha mivutano kuendelea.

Baada ya miaka kadhaa baada ya mgawanyiko wa Taifa la India kutengeneza Nchi ya Pakistan na India, kulizalishwa falsafa za Hindutva. Hindutva ni itikadi ya kisiasa inayotetea Utaifa wa Kihindu, yani kuwepo kwa taifa moja la Wahindu tu. Vyama vya kisiasa kama Bharatiya Janata Party (BJP) vimechochea mvutano wa kidini kwa kuhimiza dhana ya India kuwa taifa la Wahindu, huku jamii za wachache, hasa Waislamu, zikionekana kama wageni au tishio.

Mwaka 1992, kulitokea vurugu zilizopelekea uharibifu wa Msikiti wa Babri na kundi la Wahindu wenye msimamo mkali ulisababisha machafuko makubwa. Wahindu wanadai msikiti huo ulijengwa mahali ambapo awali palikuwa na hekalu la Lord Ram. Tukio hili lilichochea migogoro mikubwa zaidi ya kidini nchini India.

Mwaka 2002 kulitokea mauaji ya kutisha huko Gujarat, machafuko haya yalizuka baada ya treni ya Wahindu kuchomwa moto, ambapo Waislamu walilaumiwa kwa tukio hilo. Machafuko yaliyofuata yalipelekea vifo vya maelfu ya Waislamu.

Mpaka hivi karibuni matukio ya mauaji yamekuwa yakiendelea kutokea huko India hasa maeneo yanayokaliwa na dini hizi mbili za Wahindu na Waislamu. Wahindu wakiwaona Waislamu kama wavamizi wa ardhi za Kihindu, na mara kadhaa waislamu wamekuwa wakishutumiwa kuoa wanawake wa Kihindu na kuwabadilisha Dini kuwa waislamu.
Umeandika kimehemko ya kidini ya uislamu
 
Waislamu wanajiona wao ndio wa mwenyezi Mungu hakuna mwingine kama wao ni wapuuzi wataendelea kuuliwa kila siku watulie tu kama wenzao wa qwatar,UAE na SAUD sio kujifanya wanapigania mwenezi Mungu kila siku nani hana Mungu

USSR

Itakuwa mungu wao allahu ni dhaifu ndiyo maana mpaka sasa wanampigania au kumtetea. Angekuwa kama Mwenyezi Mungu Muumba wq Mbingu na Nchi Yeye anasema kisasi ni chake. Kwa maana Yeye ana uwezo wa kujitetea na kuhukumu au kuadhibu kwa haki. Yaani bila kumpunguzia mtu kipimo cha adhabu au kumzidishia au kumpendelea ama kumuonea. Yeye anatoa kipimo kamili kwa malipo kamili kwa kila mtu. Hivyo ata mtu akidhihaki wala huna sababu ya kuvimba naye. Achana naye, Mungu mwenyewe anajua namna ya kumpa stahiki na stahili yake.
 
Itakuwa mungu wao allahu ni dhaifu ndiyo maana mpaka sasa wanampigania au kumtetea. Angekuwa kama Mwenyezi Mungu Muumba Mbingu na nchi Yeye anasema kisasi ni chake. Kwa maana Yeye ana uwezo wa kujitetea na kuhukumu au kuadhibu kwa haki. Yaani bila kumpunguzia mtu kipimo cha adhabu au kumzidishia au kumpendelea ama kumuonea. Yeye anatoa kipimo kamili kwa malipo kamili kwa kila mtu. Hivyo ata mtu akidhihaki wala huna sababu ya kuvimba naye. Achana naye, Mungu mwenyewe anajua namna ya kumpa stahiki na stahili yake.
Huyo MWENYEZI MUNGU unazungumzia hapa ainaitwa JEHOVAH BABA WA MILELE MFALME WA WAFALME

NI HATARI SANA HUYO MWAMBA ALIIPASUA BAHARI YA SHAM KWA MKONO WAKE HODARI

NDIYE ALIYE MPIGA PHARAOH NA JESHI LAKE
 
Haya mambo hayajaanza jana wakati nipo bwana mdogo miaka hiyoo moja ya mikoa ya Pwani wakati nasoma shule ya msingi alhamis ilikua ni siku ya masomo ya dini sisi tulifundishwa mambo yetu tu kuhusu vitabu vyetu, tabia njema na kuwapenda wengine, ajabu muda wa kipindi ukiisha tunaporudi darasani kwa vipindi vya kawaida( kitaaluma) wenzetu wao ni " nyieee makafiri msiguse daftari zetu ,nyiee makafiri kaeni madawati yenu" wakati huo pengine kwa sababu ya umri wetu sikuona tatizo sana ila kwa sasa kuna vitu nimeelewa,

Dini hii inapenda kupandiza chuki sanaaa ,na ndio maana wakipewa maneno kidogo hawafikirii haooo wanajilipua tu
 
Haya mambo hayajaanza jana wakati nipo bwana mdogo miaka hiyoo moja ya mikoa ya Pwani wakati nasoma shule ya msingi alhamis ilikua ni siku ya masomo ya dini sisi tulifundishwa mambo yetu tu kuhusu vitabu vyetu, tabia njema na kuwapenda wengine, ajabu muda wa kipindi ukiisha tunaporudi darasani kwa vipindi vya kawaida( kitaaluma) wenzetu wao ni " nyieee makafiri msiguse daftari zetu ,nyiee makafiri kaeni madawati yenu" wakati huo pengine kwa sababu ya umri wetu sikuona tatizo sana ila kwa sasa kuna vitu nimeelewa,

Dini hii inapenda kupandiza chuki sanaaa ,na ndio maana wakipewa maneno kidogo hawafikirii haooo wanajilipua tu
Uzi uishie hapa tupate muda wa kutafakari hili Neno Lenye Hekima Nyingi.
Mungu ni Upendo.
Na anawapenda watu wote kwakuwa kawaumba kwa hiyari yake.
Kinyume na hapo sio Neno la Mungu.
 
Huyo MWENYEZI MUNGU unazungumzia hapa ainaitwa JEHOVAH BABA WA MILELE MFALME WA WAFALME

NI HATARI SANA HUYO MWAMBA ALIIPASUA BAHARI YA SHAM KWA MKONO WAKE HODARI

NDIYE ALIYE MPIGA PHARAOH NA JESHI LAKE

Swadaktaa,
Yeye hahitaji kiumbe dhaifu, binadamu anayeweza kufa apigane kwa ajili yake. Yeye anawaambia binadamu wamtii yeye na binadamu kupendana. Halafu anasema, "huwezi kusema unampenda Mungu ambaye hujawahi kumuona, halafu ukamchukia binadamu mwenzako unayeishi naye kila siku".
 
Swadaktaa,
Yeye hahitaji kiumbe dhaifu, binadamu anayeweza kufa apigane kwa ajili yake. Yeye anawaambia binadamu wamtii yeye na binadamu kupendana. Halafu anasema, "huwezi kusema unampenda Mungu ambaye hujawahi kumuona, halafu ukamchukia binadamu mwenzako unayeishi naye kila siku".
Naam ndo huyo huyo ameketi juu mawingun
 
Hiiii ni wapalestina na waisraeli mkuu…
Hiii vita si ya kidini….ila wanaopigana wana dini….na ukumbuke pia Palestinian na Israel kuna Dini zaidi ya hizo ukizozitaja.
Hapa tu niliona kuna mushkel
 
Dini ya waislamu imebuniwa juzi na muarabu na kukuta dini zingine, Sasa badala ya kuishi vizuri na dini ilizokuta, imeanzisha chokochoko kote.
 
Kwa wasio mjua Mhaya wanadhani ni muislam, mi ninachoweza kusema, kama haya ameyaandika kutoka moyoni, basi iman ya kiubinadam imeanza kumuingia na kuona mateso wanayopitia wapalestina. Ni hatua nzuri, ubinadamu kwanza
 
Back
Top Bottom