Waislamu wanavyopitia hukumu ya Pilato huko Palestina na India

Hapa tu niliona kuna mushkel
Hakuna mushkel.... Vita ya Palestina na Israel ni sawa sawa na vita ya Waislam na Wayahudi... Tofauti ni maeneo ya kijiografia tu, na vita inachaguzwa na dini hizo mbili
 
Hiiii ni wapalestina na waisraeli mkuu…
Hiii vita si ya kidini….ila wanaopigana wana dini….na ukumbuke pia Palestinian na Israel kuna Dini zaidi ya hizo ukizozitaja.
Braza... Wapalestina na Waisrael ni maneno tu yanayoashiria maeneo ya kijiografia, ila hiyo vita ni ya Muislamu na Muyahudi... Na ndio maana mataifa ya kiislamu kama Iran na yenyewe yanashiriki kupambana na Israel, na Kwa sababu taifa la kiyahudi ni moja ndio maana huoni mataifa mengine yakimtetea Israel tofauti na Marekani ambaye ni mshirika wake... Ila kusingekuwepo Uislamu na Uyahudi kusingekuwepo na hiyo vita

Hao wote wanagombania maeneo ya Masinagogi na misikiti ambapo kila mtu anaamini aliachiwa urithi... Ni kama kugombani urithi
 
Ukiwaza nje ya box maana yake huyo mungu wanayemuhubiri waislamu ni mdhaifu sana hawezi kuwasaidia nabkuwapigania watu wake.
 
Nyie msiokua waislam hamtauliwa ila nawahakikishia hamtaishi milele
Hakuna mtu atakayeishi milele kwenye uso wa Dunia... Iwe kwa Nadharia ya Dini au nadharia ya sayansi... Hakuna anayeweza kutoboa milele
 
Sahihi sana; waislamu hawawezi kuishi na yeyote, hata kule kwao Uarabuni, kiongozi yeyote lazima awatawale kwa mkono wa chuma, ukijifanya unajua demokrasia tu, watachoma hadi barabara hao watu; kwa ufupi wana aleji sana na amani.
 
Kobaz wanapenda sana kuingilia Maisha ya watu na wanajiona wao ni kama kundi flani special hapa Dunian wengine wote takataka.
 
Huijui historia yao mkuu; wameanza kugombana hao na kupigana kabla hata uislam haujaja duniani, Goliath na Daudi kulikua na Uyahudi na Uislam? Kwa ufupi wewe unaijua historia ya kuanzia mwaka 1948, rudi nyuma huko hadi miaka 1000 BC unaelewa why hawa wanagombana. Umeitaka Iran na Uislam? Iran ilipelekewa Uislam kutoka Saudia, Wasaudia, Misri, Kuwait, Iraq, Egypt hawana time na Wapalestina, hao sio Waislamu? Iran na Wayahudi ugomvi wao ulianza miaka 500 BC, enzi hizo watu pekee waliokua wana mwabudu Mungu wa manabii kama Adam, Musa, Nuhu, Ibrahim nk walikua ni Waisrael pekee yao, wengine wote tuliobakia tulikua na miungu yetu including Wazungu, Iran, Saudia nk cause Uislam haukuwepo duniani
 
Wewe ndio unaamini hivyo, ila Waislamu wanaamini uisilamu umekuwepo Tangu dunia inaumbwq
 
Wewe ndio unaamini hivyo, ila Waislamu wanaamini uisilamu umekuwepo Tangu dunia inaumbwq
Waislamu wa kwa mtogole ndio wana amini hvo; calendar za Kiislamu kutoka Uarabu zinaonesha hadi mwaka, hawa wa huku wanaujua Uislam kuliko wa Saudia? Hi habari ya kwamba Uislam umeanza miaka mingi kabla ya Mohammed wameanza kuaminishana baada ya Islamic conference iliofanyika Abuja Nigeria mwaka 1992, Tanzania pia tulipeleka wajumbe, walitokea msikiti wa kwa Mtoro, waanzilishi wa Barukta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…