Waislamu wanawajibika kukabiliana na ukweli huu mchungu

Samahani mkuu kwa swali la utangulizi.

Kivipi tutajua wewe ndiye hasa mwenye tafsiri sahihi ya quran??maana tumeshuhudia ktk mijadala mingi wasio waislam wanapouliza maswali huelekezwa warudi ktk Quran moja kwa moja si ktk tafsiri,kwa maan akwamba tafsiri zilizopo zinawezakuwa na kasoro.

Wewe za kwako unazitoa wapi??na kwa namna ipi tuamini kwamba zakp hazina shaka??
 
Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa

Hivyo nawapa darsa za Quran iliyoelezewa na atakayeona zitamfaa ILI AZIPATE anahitajika awe na BANDO TU(MBs)

Hizo darsa zinapatikana hapa 👉 TAFSIR YA QURAN ILIYOELEZEWA
Subscribed
 
Samahani mkuu kwa swali la utangulizi.

Kivipi tutajua wewe ndiye hasa mwenye tafsiri sahihi ya quran??maana tumeshuhudia ktk mijadala mingi wasio waislam wanapouliza maswali huelekezwa warudi ktk Quran moja kwa moja si ktk tafsiri,kwa maan akwamba tafsiri zilizopo zinawezakuwa na kasoro.

Wewe za kwako unazitoa wapi??na kwa namna ipi tuamini kwamba zakp hazina shaka??
Wafundishaji utakao wakuta katika tafsiri hii msingi wao ni hadithi zilizothibiti, Quran(yaani unakuta aya fulani ya Quran imetafsiriwa na aya nyingine ya Quran) na sunna. Katika Hadithi ikiwa hadithi hiyo chain yake kwa aliyetoa hadithi imekatika(yaani ikiwa kuna mtu amerukwa baina ya mtoa hadithi kurudi kwa Mtume) au kama kuna mtu katikati ya hiyo chain alikuwa anasifa ya kutokuwa muaminifu basi hadithi hiyo huwa dhaifu na kila kitu kimeelezwa. Na kikubwa zaidi kila tafsiri zao wanasema Kuwa reference ni kitabu fulani, na hawatumii vitabu vyovyote tu bali wanatumia vile vya wanazuoni na waliokuwa wanapinga masuala ya kujitungia katika dini.
 
Ushauri kwa waislamu wote.

Kama unataka kujua na kulielewa vyema kitabu chako basi ni vyema ukajifunza lugha halisi iliyotumika kuandika Quran, tafsiri nyingi sikuhizi zina utata mwingi.
 
Quran haiko kama masimulizi yaliyo kwenye vitabu tunavyotunga, bali unakuta mada pana imeelezwa ndani ya maneno machache sana. Hivyo Tafsiri ya Quran sio kujua tu lugha bali tafsiri iko katika mambo haya ma4
1. Kuna aya utaweza Tafsiri ya kuijua lugha( kama ulivyosema).
2. Kuna aya hutaweza Tafsiri mpaka kupitia elimu kutoka kwa wanazuoni. Aya izi ili uzielewe inabidi ujifunze ni kwa tukio gani, kipindi gani zilishuka, au zinaweza zikawa zimetumia lugha ya kimafumbo.
3. Kuna tafsiri ambazo kila mtu anazijua mfano tafsiri ya Allah
4. Kuna tafsiri hakuna anayejua maana yake isipokuwa Allah Mfano aya ya kwanza ya suratul baqarah
 
Hebu tuambie iyo aya suratul baqarah Ina semaje
 
Ni kweli kabisa, kuelewa vyema Quran inahitaji elimu na sio kubahatisha.

Mfano Katika Sura Al-Baqarah aya ya 164 inasema kwamba ishara za uumbaji wa mwenyezi Mungu ni kwa wenye akili.
 
Swadakta, na tumefundushwa kuwa kutoa fatwa kwa kutumia tu fikra bila kuwa na elimu na jambo fulani ni dhambi kubwa kama huna elimu nalo ni bora useme sijui
 
Hakika Kumzushia Mwenyezi Mungu ni dhambi kubwa
 
Ni kawaida siku zote wasio na hoja huishia kujibu kwa vitimbi, matusi na kuleta mizaha
Wewe ndiye ulieanza vitimbi matusi na mizaha kwa ulichomjibu mwenzako pale juu.

Umetoa wapi guts za kumwambia yeye yupo na shetani na wewe upo na Mungu wakati unavuta pumzi hii hii anayovuta yeye?lengo langu siyo kubishana na wewe kama utakuwa umenielewa sawa hukunielewa pia sawa
 
Back
Top Bottom