Eternally to be
Member
- Oct 30, 2021
- 53
- 54
- Thread starter
- #21
Suala la kuvuta pumzi moja lisikuchanganye kwasababu Allah ashasema rehma yake imekienea kila kitu, mpaka kufikia hatua unamkuta mtu anafanya maasi ambayo shaytwan amempambia na wakati huohuo anapata rehma za Allah kama pumzi, nguvu n.k.Wewe ndiye ulieanza vitimbi matusi na mizaha kwa ulichomjibu mwenzako pale juu.
Umetoa wapi guts za kumwambia yeye yupo na shetani na wewe upo na Mungu wakati unavuta pumzi hii hii anayovuta yeye?lengo langu siyo kubishana na wewe kama utakuwa umenielewa sawa hukunielewa pia sawa