adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Fikra zake ni za upotofu , kama Biology na Chemistry hatuwezi kujisomea sisi vitabu tukaelewakwa hiyo kila mtu anajitafsiria anavyoona ni sahihi kwake??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fikra zake ni za upotofu , kama Biology na Chemistry hatuwezi kujisomea sisi vitabu tukaelewakwa hiyo kila mtu anajitafsiria anavyoona ni sahihi kwake??
Muhammad alipoomba kuingizwa mwingizo mwema na allah alimaanisha mwingizo gani?Vitimbi unavyohitaji kuanzisha ni cha mtoto kwani wamepita wangapi waliojaribu kumzuilia Allah uwongo naye Allah akawaangamiza na leo tunawataja kwa mabaya. Kumbuka wewe uko na shaytwan na mimi niko na muumba.
Kwa ufahamu wako hao kwenye video watakuwa ni dini gani?Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa
Hivyo nawapa darsa za Quran iliyoelezewa na atakayeona zitamfaa ILI AZIPATE anahitajika awe na BANDO TU(MBs)
Hizo darsa zinapatikana hapa 👉 TAFSIR YA QURAN ILIYOELEZEWA
Li adriz limelikeSubscribed
Huyu huyu Allah mungu wa kiarabu. Anayejua kiarabu tu?Suala la kuvuta pumzi moja lisikuchanganye kwasababu Allah ashasema rehma yake imekienea kila kitu, mpaka kufikia hatua unamkuta mtu anafanya maasi ambayo shaytwan amempambia na wakati huohuo anapata rehma za Allah kama pumzi, nguvu n.k.
Kwenye ndoa hapo kuna shida sana kwa hawa watu. Wameifanya hii taasisi kuonekana kituko. Mwanamke akibanwa na nyege na hayuko tayari kuzini, basi humtafuta mwanaume na atakuwa tayari kumlipia mahari. Wataoana na wataishi hata miezi saba hivi. Hawa jamaa hutoa talaka hata kama mwanamke ana mimba. Yupo mmoja alikula talaka kitandani hospitali kwa kuungua uso kwa maji. Mwanaume hakupepesa, akasema hawezi kuwa na mwanamke aliyeungua. Uelewe hapo tayari kuna watoto. Hii imani shida sanaAcheni ujinga wenu
Kwani kasema uongo si huo ndio ukweli wewe huoni magaidi yanajificha kupitia dini yenu..maana yake ni rahisi uislamu kumhifadhi gaidi.
Sema dini zote ni utapeli tu! Huwezi kuniambia duniani hapa kwamba ukiwa muislam basi Mungu anakusajilu moja kwa moja peponi na vipi kuhusu wakristo, budha, shinto, n.k na wanamwamini Mungu wao kwamba Mungu huyo atachukua dini ipi aache ipi?
Kuna mambo ukitumia akili za kawaida huwezi fanya!
Nawapongeza mna utaratibu mzuri wa mtu akufa ni kuzika chapu na suala la Ndoa mpo vizuri kwa kweli! Kama babu zetu walivyo fanya walioa wanawake wengi kwa sababu za kiuchumi na kimazingira kipindi hicho..
Ila mambo ya kufunga na kuitana kafili na mengine ! Huwa mnafeli sana!
Nyinyi makatili tu hata ujaribu kujikosha kwa jikiSote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa
Hivyo nawapa darsa za Quran iliyoelezewa na atakayeona zitamfaa ILI AZIPATE anahitajika awe na BANDO TU(MBs)
Hizo darsa zinapatikana hapa 👉 TAFSIR YA QURAN ILIYOELEZEWA