Eternally to be
Member
- Oct 30, 2021
- 53
- 54
SubscribedSote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa
Hivyo nawapa darsa za Quran iliyoelezewa na atakayeona zitamfaa ILI AZIPATE anahitajika awe na BANDO TU(MBs)
Hizo darsa zinapatikana hapa 👉 TAFSIR YA QURAN ILIYOELEZEWA
Wafundishaji utakao wakuta katika tafsiri hii msingi wao ni hadithi zilizothibiti, Quran(yaani unakuta aya fulani ya Quran imetafsiriwa na aya nyingine ya Quran) na sunna. Katika Hadithi ikiwa hadithi hiyo chain yake kwa aliyetoa hadithi imekatika(yaani ikiwa kuna mtu amerukwa baina ya mtoa hadithi kurudi kwa Mtume) au kama kuna mtu katikati ya hiyo chain alikuwa anasifa ya kutokuwa muaminifu basi hadithi hiyo huwa dhaifu na kila kitu kimeelezwa. Na kikubwa zaidi kila tafsiri zao wanasema Kuwa reference ni kitabu fulani, na hawatumii vitabu vyovyote tu bali wanatumia vile vya wanazuoni na waliokuwa wanapinga masuala ya kujitungia katika dini.Samahani mkuu kwa swali la utangulizi.
Kivipi tutajua wewe ndiye hasa mwenye tafsiri sahihi ya quran??maana tumeshuhudia ktk mijadala mingi wasio waislam wanapouliza maswali huelekezwa warudi ktk Quran moja kwa moja si ktk tafsiri,kwa maan akwamba tafsiri zilizopo zinawezakuwa na kasoro.
Wewe za kwako unazitoa wapi??na kwa namna ipi tuamini kwamba zakp hazina shaka??
Vitimbi unavyohitaji kuanzisha ni cha mtoto kwani wamepita wangapi waliojaribu kumzuilia Allah uwongo naye Allah akawaangamiza na leo tunawataja kwa mabaya. Kumbuka wewe uko na shaytwan na mimi niko na muumba.Kitabu cha kutengeneza magaidi
Al-mraan 3:193 Hii aya inakuhusu jazakallah khayrSubscribed
Longolongo tu!Vitimbi unavyohitaji kuanzisha ni cha mtoto kwani wamepita wangapi waliojaribu kumzuilia Allah uwongo naye Allah akawaangamiza na leo tunawataja kwa mabaya. Kumbuka wewe uko na shaytwan na mimi niko na muumba.
Bible kitabu cha kutengeneza mashoga,wagalatia wote mashogaKitabu cha kutengeneza magaidi
Ni kawaida siku zote wasio na hoja huishia kujibu kwa vitimbi, matusi na kuleta mizahaLongolongo tu!
Unajivika u-house girl wa Mungu,stop it!
Muombe sana Mungu kwa kumkusudia aliyeumba kila kitu (kuomba bila ya kupitia kwa madhehebu uliyopo) ikiwa kweli unahitaji kuona usahihiMambo ya imani hayanaga jibu sahihi
Quran haiko kama masimulizi yaliyo kwenye vitabu tunavyotunga, bali unakuta mada pana imeelezwa ndani ya maneno machache sana. Hivyo Tafsiri ya Quran sio kujua tu lugha bali tafsiri iko katika mambo haya ma4Ushauri kwa waislamu wote.
Kama unataka kujua na kulielewa vyema kitabu chako basi ni vyema ukajifunza lugha halisi iliyotumika kuandika Quran, tafsiri nyingi sikuhizi zina utata mwingi.
Hebu tuambie iyo aya suratul baqarah Ina semajeQuran haiko kama masimulizi yaliyo kwenye vitabu tunavyotunga, bali unakuta mada pana imeelezwa ndani ya maneno machache sana. Hivyo Tafsiri ya Quran sio kujua tu lugha bali tafsiri iko katika mambo haya ma4
1. Kuna aya utaweza Tafsiri ya kuijua lugha( kama ulivyosema).
2. Kuna aya hutaweza Tafsiri mpaka kupitia elimu kutoka kwa wanazuoni. Aya izi ili uzielewe inabidi ujifunze ni kwa tukio gani, kipindi gani zilishuka, au zinaweza zikawa zimetumia lugha ya kimafumbo.
3. Kuna tafsiri ambazo kila mtu anazijua mfano tafsiri ya Allah
4. Kuna tafsiri hakuna anayejua maana yake isipokuwa Allah Mfano aya ya kwanza ya suratul baqarah
Ni kweli kabisa, kuelewa vyema Quran inahitaji elimu na sio kubahatisha.Quran haiko kama masimulizi yaliyo kwenye vitabu tunavyotunga, bali unakuta mada pana imeelezwa ndani ya maneno machache sana. Hivyo Tafsiri ya Quran sio kujua tu lugha bali tafsiri iko katika mambo haya ma4
1. Kuna aya utaweza Tafsiri ya kuijua lugha( kama ulivyosema).
2. Kuna aya hutaweza Tafsiri mpaka kupitia elimu kutoka kwa wanazuoni. Aya izi ili uzielewe inabidi ujifunze ni kwa tukio gani, kipindi gani zilishuka, au zinaweza zikawa zimetumia lugha ya kimafumbo.
3. Kuna tafsiri ambazo kila mtu anazijua mfano tafsiri ya Allah
4. Kuna tafsiri hakuna anayejua maana yake isipokuwa Allah Mfano aya ya kwanza ya suratul baqarah
Swadakta, na tumefundushwa kuwa kutoa fatwa kwa kutumia tu fikra bila kuwa na elimu na jambo fulani ni dhambi kubwa kama huna elimu nalo ni bora useme sijuiNi kweli kabisa, kuelewa vyema Quran inahitaji elimu na sio kubahatisha.
Mfano Katika Sura Al-Baqarah aya ya 164 inasema kwamba ishara za uumbaji wa mwenyezi Mungu ni kwa wenye akili.
Hakika Kumzushia Mwenyezi Mungu ni dhambi kubwaSwadakta, na tumefundushwa kuwa kutoa fatwa kwa kutumia tu fikra bila kuwa na elimu na jambo fulani ni dhambi kubwa kama huna elimu nalo ni bora useme sijui
Wewe ndiye ulieanza vitimbi matusi na mizaha kwa ulichomjibu mwenzako pale juu.Ni kawaida siku zote wasio na hoja huishia kujibu kwa vitimbi, matusi na kuleta mizaha