Eternally to be
Member
- Oct 30, 2021
- 53
- 54
- Thread starter
-
- #21
Suala la kuvuta pumzi moja lisikuchanganye kwasababu Allah ashasema rehma yake imekienea kila kitu, mpaka kufikia hatua unamkuta mtu anafanya maasi ambayo shaytwan amempambia na wakati huohuo anapata rehma za Allah kama pumzi, nguvu n.k.Wewe ndiye ulieanza vitimbi matusi na mizaha kwa ulichomjibu mwenzako pale juu.
Umetoa wapi guts za kumwambia yeye yupo na shetani na wewe upo na Mungu wakati unavuta pumzi hii hii anayovuta yeye?lengo langu siyo kubishana na wewe kama utakuwa umenielewa sawa hukunielewa pia sawa
Then usimuhukumu mwenzako as longer as wote yeye na wewe hakuna anayeijua hatma yake,in short hapo ulipo huijui dakika moja mbele kitakutokea nini.Suala la kuvuta pumzi moja lisikuchanganye kwasababu Allah ashasema rehma yake imekienea kila kitu, mpaka kufikia hatua unamkuta mtu anafanya maasi ambayo shaytwan amempambia na wakati huohuo anapata rehma za Allah kama pumzi, nguvu n.k.
Na bila shaka hujui kutofautisha kati ya kumuhukumu mtu na kumwambia mtu ukweli. Siku zote anayezipinga aya za Allah na na kuziita kwa kejeli kama alivosema huyo mpambe wako "Kitabu cha kutengeneza magaidi", moja kwa moja huyo HAJUI NA ANAMUUNGA MKONO SHAYTWAN. Hakuna muda wa kuanza kufichaficha eti nimuache katika upotofu wake bali nisipomwbia nitakuwa nimebeba dhima ya kuulizwa kwamba kwanini sikusema.Then usimuhukumu mwenzako as longer as wote yeye na wewe hakuna anayeijua hatma yake,in short hapo ulipo huijui dakika moja mbele kitakutokea nini.
Ishi kwa kiasi usiishi kwa kisasi kwamba yule hajui mimi najua,hii itakusaidia sana ukiifuata.
Acheni ujinga wenuNa bila shaka hujui kutofautisha kati ya kumuhukumu mtu na kumwambia mtu ukweli. Siku zote anayezipinga aya za Allah na na kuziita kwa kejeli kama alivosema huyo mpambe wako "Kitabu cha kutengeneza magaidi", moja kwa moja huyo HAJUI NA ANAMUUNGA MKONO SHAYTWAN. Hakuna muda wa kuanza kufichaficha eti nimuache katika upotofu wake bali nisipomwbia nitakuwa nimebeba dhima ya kuulizwa kwamba kwanini sikusema.
SawaAl-mraan 3:193 Hii aya inakuhusu jazakallah khayr
Lakini kwa nini Allah awatese waumini namna hii? Kweli ni lazima kila mwanadamu muislam ajue kiarab ndipo aelewe Quran/Uislam? Kwa nini basi kama ni hivi Allah angewafanya wanadamu wote wazungumze kiarab ili wote wawe sawa.Ushauri kwa waislamu wote.
Kama unataka kujua na kulielewa vyema kitabu chako basi ni vyema ukajifunza lugha halisi iliyotumika kuandika Quran, tafsiri nyingi sikuhizi zina utata mwingi.
Jazakallah khairSuala la kuvuta pumzi moja lisikuchanganye kwasababu Allah ashasema rehma yake imekienea kila kitu, mpaka kufikia hatua unamkuta mtu anafanya maasi ambayo shaytwan amempambia na wakati huohuo anapata rehma za Allah kama pumzi, nguvu n.k.
Kujua kusoma Quran ni wajibu wa kila Muislamu, kwenye hilo hakuna kisingizio.Lakini kwa nini Allah awatese waumini namna hii? Kweli ni lazima kila mwanadamu muislam ajue kiarab ndipo aelewe Quran/Uislam? Kwa nini basi kama ni hivi Allah angewafanya wanadamu wote wazungumze kiarab ili wote wawe sawa.
Maana kwa sasa waislam ambao kiarab siyo lugha yao mama wanateseka sana kuujua Uislam. Na pengine wasiujue kabisa kwa usahihi hadi waage dunia
Mkuu ata mimi kwa upande wangu nikisoma baadh ya dhikri kwa kiswahiri naonaga kama haiingii vile inatakiwa sijui hii ipo vipi wakuu?kwenye kutafsri ndio kupotoshana kuna anzia hapo
Huoni kama Waarab na wanaotumia Kiarab watakuwa favoured?Kujua kusoma Quran ni wajibu wa kila Muislamu, kwenye hilo hakuna kisingizio.
Wakati Mungu anaamua kuteremsha kitabu kwa Lugha ya kiarabu alikuwa na maana yake anayo ijua yeye, Waislamu wanapaswa kufanya kile alicho amrisha Mungu wao na si vinginevyo.Huoni kama Waarab na wanaotumia Kiarab watakuwa favoured?
Maana ndiyo wataelewa Quran kwa usahihi
Qur'an haihitaji tafsiri ya yeyote yule.Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa
Hivyo nawapa darsa za Quran iliyoelezewa na atakayeona zitamfaa ILI AZIPATE anahitajika awe na BANDO TU(MBs)
Hizo darsa zinapatikana hapa π TAFSIR YA QURAN ILIYOELEZEWA
kwa hiyo kila mtu anajitafsiria anavyoona ni sahihi kwake??Qur'an haihitaji tafsiri ya yeyote yule.
Ha ha ha.... Uongo mtupu. Tena uongo hasa na ndugu zenu majini.Vitimbi unavyohitaji kuanzisha ni cha mtoto kwani wamepita wangapi waliojaribu kumzuilia Allah uwongo naye Allah akawaangamiza na leo tunawataja kwa mabaya. Kumbuka wewe uko na shaytwan na mimi niko na muumba.
Ahsante sanaSote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa
Hivyo nawapa darsa za Quran iliyoelezewa na atakayeona zitamfaa ILI AZIPATE anahitajika awe na BANDO TU(MBs)
Hizo darsa zinapatikana hapa π TAFSIR YA QURAN ILIYOELEZEWA
Tatizo liko kwenye Quran yenu, imejaa ngono, chuki, ukatili na uuaji. Sasa viongozi wenu huwaficha ukweli hasa ulioandikwa kwe Quran na Sunnah za Mtume. Mfano Quran 3:47 Gibril alimtokea mariam kama kijana wa kiume, akatumia vidole vyake kumpandisha ny*ge; Quran 66:12 yasema Allah alimtokea mariam na akapuliza kwenye V*gina yake; sikiliza hapo pia kumbe Mohammed alitokewa na gibril akiwa kama kijana wa kiume. Hizi facts zote viongozi wenu wanazificha.Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa
Hivyo nawapa darsa za Quran iliyoelezewa na atakayeona zitamfaa ILI AZIPATE anahitajika awe na BANDO TU(MBs)
Hizo darsa zinapatikana hapa π TAFSIR YA QURAN ILIYOELEZEWA