Waislamu wanawajibika kukabiliana na ukweli huu mchungu

kwa hiyo kila mtu anajitafsiria anavyoona ni sahihi kwake??
Fikra zake ni za upotofu , kama Biology na Chemistry hatuwezi kujisomea sisi vitabu tukaelewa
 
Vitimbi unavyohitaji kuanzisha ni cha mtoto kwani wamepita wangapi waliojaribu kumzuilia Allah uwongo naye Allah akawaangamiza na leo tunawataja kwa mabaya. Kumbuka wewe uko na shaytwan na mimi niko na muumba.
Muhammad alipoomba kuingizwa mwingizo mwema na allah alimaanisha mwingizo gani?
 
Kwa ufahamu wako hao kwenye video watakuwa ni dini gani?
Your browser is not able to display this video.
 
Suala la kuvuta pumzi moja lisikuchanganye kwasababu Allah ashasema rehma yake imekienea kila kitu, mpaka kufikia hatua unamkuta mtu anafanya maasi ambayo shaytwan amempambia na wakati huohuo anapata rehma za Allah kama pumzi, nguvu n.k.
Huyu huyu Allah mungu wa kiarabu. Anayejua kiarabu tu?
 
Kwenye ndoa hapo kuna shida sana kwa hawa watu. Wameifanya hii taasisi kuonekana kituko. Mwanamke akibanwa na nyege na hayuko tayari kuzini, basi humtafuta mwanaume na atakuwa tayari kumlipia mahari. Wataoana na wataishi hata miezi saba hivi. Hawa jamaa hutoa talaka hata kama mwanamke ana mimba. Yupo mmoja alikula talaka kitandani hospitali kwa kuungua uso kwa maji. Mwanaume hakupepesa, akasema hawezi kuwa na mwanamke aliyeungua. Uelewe hapo tayari kuna watoto. Hii imani shida sana
 

Hakika wale wanao bishana katika Ishara za Mwenyezi Mungu bila ya uthibitisho wowote uliyo wajia, hawana vifuani mwao ila kutaka kiburi tu, na wala ukubwa wa kiburi hicho hawaufikii. Basi jikinge kwa Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia, Mwenye kuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…