Waislamu washauriwa kufuga nguruwe ili kujikwamua kiuchumi

Jambo lingine ni riba, warabu walikataza wazee wetu wasikope mikopo ya RIBA eti ni haram. Wakati hakuna mwarabu amewahi kopesha pesa bila riba.
Warabu wana hela nyingi sana hapa duniani ila hawatoi hata hizo 10% kwa sisi waafrika tujikomboe zaidi ya kutucheka na kuishi maisha ya anasa. Kwa hio muislam mjinga ataendelea kuwasikiliza asikope na aishie kuwa masikini. Usije toa mfano wa BANK ZA KIISLAMU ni uwongo zina riba.
Wazee wangu wengi sana wameishia kuwa masikini kutokana na kuwasikiliza warabu.
Ukimuona mswahili ana pesa nyingi nakwambia hafuati huo mfumo wa warabu.
Jiulize kwa nini hamii za waswahili nyingi ni masikini sana. Sababu mojawapo ni kuwa hawakopi kopata mitaji, bivyo wanafanya biashara za uchuuuzi na ujanja ujanja.
Tuamkeni.
 
Mtoa mada pamoja na yote. Jamii zetu za kiislamu nyingi huishi mjini na mazingira hayasapoti kufuga nguruwe. Kwa hio haiwezekani, vile vile imeisha kuwa utamaduni.
Mimi kama mzawa wa waswahili ningependa waswahili wabadili mtazamo wa maisha na utamaduni
Mfano mswahili kilimo na ufugaji kaviweka mbali japo sio wote. Tuanze kwenda pembezon tununue ardhi na kuanza kufuga wanyama tofauti na kulima.Nazungumzia majority sio wote hawafugi na kulima.
 
Huku Balani Bungu tunakula nguruwe lakini sio kama hao mnaokula nyie wa kufugwa , sie twala nguruwe pori masheikhe wanasema sio dhambi
 
Nimkqma vile kulima Bangi au Tumbaku au kuuza pombe na hutumii Wala hakuna shida.
 
Kuna siri nyuma ya pazia kumkataa nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…