Mkuu hapo kuna hoja gani? Au habari za uongo tu.Nyie makubazi kutetea hoja hamjui bali ni kutukana tu. Nilitegemea uje na aya kumpinga shekhe .
Mkuu hapo kuna hoja gani? Au habari za uongo tu.Nyie makubazi kutetea hoja hamjui bali ni kutukana tu. Nilitegemea uje na aya kumpinga shekhe .
Sema KimeumanaItaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako katika Quran,aliendelea kufafanua kuwa Quran haijakataza kufuga nguruwe bali imekataza kula nguruwe,alisema hata yeye amekuwa akifuga nguruwe ambao wamemletea manufaa ya kiuchumi ikiwemo uwezo wa kuwalipia karo watoto shuleni,alisisitiza waislamu hawakatazwi kufuga nguruwe kwa ajili ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umasikini.Ushauri wangu kwa waislamu wa jf na wengineo waanze kusoma nyuzi za namna ya ufugaji bora wa nguruwe au tuseme ufugaji wenye tija
Kuna muislamu huko nyuma ya kibodi kauelewa ushauri wa shehe anaufanzia kaziSema Kimeumana
Huyo kobazi ndio kobazi mtupu kichwani kuliko kobazi wote afrika mashariki na katiNyie makubazi kutetea hoja hamjui bali ni kutukana tu. Nilitegemea uje na aya kumpinga shekhe .
Watakuja kuyapinga maandiko yao wenyewe,Qu'ran yenyewe kwanza huwa inajipinga yenyeweMmeambiwa mkifikwa na dhalula mle Nguruwe:
Sasa kama hamuwafugi mtawapata wapi wakati wa hiyo dhalula?
Mnataka awafugie nani?
Kama mnaweka akiba ya pesa ili iwafae wakati wa dhalula ni kwanini hamfugi Nguruwe ili awafae wakati wa dhalula ?
Mi kila weekend nafikwa na dhalula ya chakula na kupata japo ka kilo kamoja tu ka mdudu:
Hakuna haramu hapo no janja janja tu:
[ AL - BAQARA - 173 ]
Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Mbona wapo wanyakyusa makobazi,huwezi kuniambia kwenye ile misikiti iliyoko mbeya katila wanaoswali mle hakuna wanyakyusaMwaibabile? Hii kali, tumezoea kusikia mwaipopo, huyu mwaibabile naye katokea wapi? Wanyakyusa na uislam wapi na wapi?
hii itashangaza sana kama kule kilimanjaro, kagera ukute wachaga na wahaya ni waislam basi hata wamasai waislam wapo!Mbona wapo wanyakyusa makobazi,huwezi kuniambia kwenye ile misikiti iliyoko mbeya katila wanaoswali mle hakuna wanyakyusa
ifike muda waache kujificha ficha tu.. mbona mdudu hana baya yule..Kuna muislamu huko nyuma ya kibodi kauelewa ushauri wa shehe anaufanzia kazi
Allah ana mambo mengi ya kufanya sidhani kama anaweza acha shughuli zake aanze kuwachunga makobazi wasile nguruweifike muda waache kujificha ficha tu.. mbona mdudu hana baya yule..
Hahahahahahaaa.. Dini ni ujinga mtupuAllah ana mambo mengi ya kufanya sidhani kama anaweza acha shughuli zake aanze kuwachunga makobazi wasile nguruwe
Mnashupalia tu dini mlizoletewaMkuu hapo kuna hoja gani? Au habari za uongo tu.
Soma uelewe koment nimekubambikizia wapiWe jamaa mimi nadeal na mpunga,nilikuwa mbarali na ndiko nilipoyashuhudia haya na nikashangazwa hata nikalileta hapa,sasa huko kukashifu unakonibambikiza kunatoka wapi jamaa
Huyu si shehe huyuAbdulswamadu Thabeet akishoo lavu kwa Nguruwe baada ya kumtoa kimasomaso.
# dronedrake
View attachment 3374132
Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako katika Quran,aliendelea kufafanua kuwa Quran haijakataza kufuga nguruwe bali imekataza kula nguruwe,alisema hata yeye amekuwa akifuga nguruwe ambao wamemletea manufaa ya kiuchumi ikiwemo uwezo wa kuwalipia karo watoto shuleni,alisisitiza waislamu hawakatazwi kufuga nguruwe kwa ajili ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umasikini.Ushauri wangu kwa waislamu wa jf na wengineo waanze kusoma nyuzi za namna ya ufugaji bora wa nguruwe au tuseme ufugaji wenye tija,pia nashauri wawe wanatumia nyama ya nguruwe ili afya zao ziimarike wawe na nuru maana wengi wamekauka,unakuta mtu kafubaa kavaa kanzu,na kanzu yenyewe imefubaa unaweza kuzani kanzu imetundikwa kwenye mti unaotembea