Waislamu washauriwa kufuga nguruwe ili kujikwamua kiuchumi

😀😀😀watu wakorofi sana daah,tuwaache wafuasi wa Mnyazimungu
 
Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako katika Quran,aliendelea kufafanua kuwa Quran haijakataza kufuga nguruwe bali imekataza kula nguruwe,alisema hata yeye amekuwa akifuga nguruwe ambao wamemletea manufaa ya kiuchumi ikiwemo uwezo wa kuwalipia karo watoto shuleni,alisisitiza waislamu hawakatazwi kufuga nguruwe kwa ajili ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umasikini.Ushauri wangu kwa waislamu wa jf na wengineo waanze kusoma nyuzi za namna ya ufugaji bora wa nguruwe au tuseme ufugaji wenye tija
matajiri wakubwa bongo ni watu gani kwani🤭🤭🤭
 
Hii kali hasa. Kwa uelewa wangu, nguruwe kwenye uislamu ni HARAMU, kiasi kwamba hata vyombo vilivyogusisha hiyo nyama hutakiwi kutumia hadi uvisomee dua maalum. Sasa ije iwe kuwafuga? dunia inaenda kasi sana wandugu 😇😇😇
 
Tujitahd tupate ilimu ya akhera, pia
Kabisa shekhe, yaani wakuta mtu amdhulumu mwenzake, ampiga mke, afanya mapenzi kinyume na maumbile.

Nasema hiviii!.... Adhabu ya kabri lazima imhusu yule afanyaye vileee! Amkosea mnyezi munguuu!
 
Hii kali hasa. Kwa uelewa wangu, nguruwe kwenye uislamu ni HARAMU, kiasi kwamba hata vyombo vilivyogusisha hiyo nyama hutakiwi kutumia hadi uvisomee dua maalum. Sasa ije iwe kuwafuga? dunia inaenda kasi sana wandugu 😇😇😇
Watabadilika tu shehe mmoja akionja kipande kimoja tu cha nyama ya nguruwe wa kukaanga lazima apige alahu akbar kwa utamu wa hiyo nyama na lazima awatukane waqurayshi kwa uzushi wao wa kumsimqnga nguruwe
 
Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako katika Quran,aliendelea kufafanua kuwa Quran haijakataza kufuga nguruwe bali imekataza kula nguruwe,alisema hata yeye amekuwa akifuga nguruwe ambao wamemletea manufaa ya kiuchumi ikiwemo uwezo wa kuwalipia karo watoto shuleni,alisisitiza waislamu hawakatazwi kufuga nguruwe kwa ajili ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umasikini.Ushauri wangu kwa waislamu wa jf na wengineo waanze kusoma nyuzi za namna ya ufugaji bora wa nguruwe au tuseme ufugaji wenye tija
Amekufuru baada ya kuamini kwake
 
Wewe ulijua je kwamba ni kobazi? Ukienda sehemu wanao uza nyama ya ngombe ni lazima uwe umenunua acheni kuhukumu watu hivo kisa mnataka tufanane kama nyie.
Hivi unasomaga vizuri kabla ya kukurupuka kujibu,nimekwambia dogo namjua yeye na familia yake,hivi kina Abdullah,hussein,mudi au Abdul sio kina kobazi?
 
Back
Top Bottom