Waislamu washauriwa kufuga nguruwe ili kujikwamua kiuchumi

Waislamu washauriwa kufuga nguruwe ili kujikwamua kiuchumi

Wewe na huyu alie sema wote ni wapumbavu......kuna mtu alisilimu juzu akiwa anafuga nguruwe ila sheria ya Dini ili muhumru kuziua bila kuziumiza, ange ziuza kwa wengine ni sawa sawa na alio kula hiyo nyama.
Unamaanisha nguruwe ni mnyama ambaye hastaili kuishi?
 
Siku itatoka tafiti wakristo wako milioni 40 tuseme waislamu wako milioni 15 dini nyingine wako nilioni 5 utashangaa twakwimu inasema wala.nguruwe wako milioni 57 hapo ndipo utajiuliza idadi kubwa hiyo ya wala poku inajazwa na akina nani bila shaka ni wavaa misuli
 
Kwahyo reforms zifanyike kwenye dini ili watu waendane na upepo wa soko la ajira.?
 
Kuna.mtu kachukia ushauri wa shehe wake kapandwa na gadhamu mpaka kaona msuli mzito kauvua kabaki na bukta tu na kobazi kazivua kaziweka kwapani
 
Siku itatoka tafiti wakristo wako milioni 40 tuseme waislamu wako milioni 15 dini nyingine wako nilioni 5 utashangaa twakwimu inasema wala.nguruwe wako milioni 57 hapo ndipo utajiuliza idadi kubwa hiyo ya wala poku inajazwa na akina nani bila shaka ni wavaa misuli
Hiyo kawaida tu waislamu wamekatazwa kula nguruwe ila kuna baadhi ya washenzi wanakula au nikuulize kwani nyinyi hamjakatazwa kuzini
 
Shehe Abubakari Mwaibabile, huyu ni mnyakyusa mwenzangu.... mimi nikimwona mnyakyusa ambaye ni muislamu au shehe huwa najenga mashaka km anaweza akawa competent kwenye muislamu....

Nimezaliwa mbeya na kukulia mbeya ni nadra sana kumkuta mnyakyusa ambaye ni muislamu... ukitaka kujua jaribu kufanya tathmini ya haraka ya watu maarufu Tanzania ambao ni wanyakyusa waumini wa kiislamu... km unabisha nitajie hata watano unaowafahamu... kwa haraka haraka ninaowajua ni kocha Mwambusi na shehe Mwaipopo.....

May be mnyakyusa pekee niliyewahi kusoma nae ni Ally Mwansasu ambae sijasoma nae Mbeya bali nilisoma nae udsm, last time alikua shehe mkuu wa mkoa wa mbeya..... in short, wanyakyusa hawana uislam na ndo maana huyo shehe anafikia hatua ya kuwaambia waislamu wafuge nguruwe...
Alafu cha kushangaza kingine Mbeya watu wana majina ya kiislamu lakini ni wakristo, nina Jamaa yangu anaitwa omary lakini ni mmoravian
 
Anasoma kitabu gani huyu mtu wako? ni mgalatia kama wewe ndo nimesema wewe na mwenzio ni wapumbavu wa kutupwa.
Duh..!
Punguza hasira sheikh wangu....sio kwa povu hilo😅
 
kuna mzenji alipangiwa kazi mbeya alafu jamaa swala 5 hasa,jamaa alitafuta uhamisho kwanguvu zake zote,madai yake anasema huku kitimoto nje nje shida ipo kwawatoto wanaweza kukaribishwa ugali kwajirani wakala bila kujua ni ugali nakitimoto
Kitimoto na majini haviwezi kukaa sehemu moja
 
Kufuga majini ✅ kufuga kitimoto ❌. Hiyo ndio dini ya haki
Ushahidi gani wa Quran au hadithi unaoruhusu waislamu kufuga majini?

Yaani wajinga wanaoenda kucheza na kurukaruka kanisani bila kuisoma dini yenu ndio mnataka mtupangie sheria za uislamu
 
Hata kula hawajakatazwa jumla ni unafiki tu.

Quran imewaruhusa kula kila kitu kama hakuna namna kabisa.
 
Kuna.mtu kachukia ushauri wa shehe wake kapandwa na gadhamu mpaka kaona msuli mzito kauvua kabaki na bukta tu na kobazi kazivua kaziweka kwapani
Uislamu hauna ushauri wa sheikh na hakuna anayeumia zaidi ya wagalatia mnatamani waislamu wawafuate hao masheikh ubwabwa halafu kisha muje kuwacheka.

Ingekuwa uislamu kuwafuafa masheikh basi ungekuwa ushakufa kama ugalatia

Maana Kuna masheikh wanaruhusu vitu vya hovyo vingi tu ila watu wanaachana na upumbavu wao
 
Ushahidi gani wa Quran au hadithi unaoruhusu waislamu kufuga majini?

Yaani wajinga wanaoenda kucheza na kurukaruka kanisani bila kuisoma dini yenu ndio mnataka mtupangie sheria za uislamu
Ugaidi✅ kufuga kitimoto❌. Hiyo ndio dini ya mnyaazi mungu
 
Wewe na huyu alie sema wote ni wapumbavu......kuna mtu alisilimu juzu akiwa anafuga nguruwe ila sheria ya Dini ili muhumru kuziua bila kuziumiza, ange ziuza kwa wengine ni sawa sawa na alio kula hiyo nyama.
Nani aliona?
 
Hata kula hawajakatazwa jumla ni unafiki tu.

Quran imewaruhusa kula kila kitu kama hakuna namna kabisa.
Wewe ndio unaijua sana Quran?

Umeandika uozo,

Kama ushasema ikiwa hamna namna, sasa namna ipo

Halafu uislamu upo hivyo kwa vitu vyote ikitokea hamna namna kabisa itafanyika kinachowezekana

Hata bangi ikiwa ndio hamna namna may be dawa pekee hapo itatumika kwa hali hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom