hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Ndugu mleta mada vip kuhusu wasabato ?
Halafu kuna kitu kinanishangaza kuna watu wana sigida wamekaa upande fulani hapa uwanjani wanashangilia sana kobazi akipigwa chenga na mfuga nguruwe sijui mana yake niniHaaahaa 😊, waache visingizio Hawa kobazi REFA yupo fair Tena ni WA upande wao.
No transformer no electricityKwahiyo shehe unataka kuniambia kila anayeleta taarifa humu maana yake hiyo taarifa imemnogea,shehe mbona umefilisika kiakili namna hiyo,nini kimekupata kwenye hiyo sehemu iliyobebwa na shingo yako
Sikukasirika kabisa ila nashangaa ujinga uliowajaa kushindwa kufuga wanyama wa aina zote waliopo mbuga zetuMbona umekasirika sana jamaa ushauri tu wa kufuga nguruwe ndio umekukasirisha hivi why,mbona huchukii watu kufuga majini
Niseme tu kwa kifupi nguruwe na msabato bora nguruwe,nguruwe anaweza kukufanya uwe tajiri kwa kumuuza sasa msabato atakataa kufanya kazi za bosi wake jumamosi,usije ajiri msabato ni msumbufu sanaNdugu mleta mada vip kuhusu wasabato ?
Tena!No transformer no electricity
Raha ya mechi ni magoli na kandanda safi unajua nguruwe fc Wana wachezaji wengi wa kitaifaa na kimataifaa so hakuna mchawi kobazi wa napata rahaa 😆Halafu kuna kitu kinanishangaza kuna watu wana sigida wamekaa upande fulani hapa uwanjani wanashangilia sana kobazi akipigwa chenga na mfuga nguruwe sijui mana yake nini
EvilSpirit njoo kaka TUNAITWA ☺️ 😁 hukuu.Huyu mnyama hafai kuliwa hata kwa asiye muislam ana madhara ya kiroho na kimwili pia.
Ndo chanzo cha tabia za ajabu ajabu kwa wanadamu ikiwemo kutokuwa na mshipa wa aibu.
Ulacho ndicho ujenga tabia yako
Acha kuchotwa na uzushi wa hawa waqurayshHuyu mnyama hafai kuliwa hata kwa asiye muislam ana madhara ya kiroho na kimwili pia.
Ndo chanzo cha tabia za ajabu ajabu kwa wanadamu ikiwemo kutokuwa na mshipa wa aibu.
Ulacho ndicho ujenga tabia yako
Huyo usimsikilize hapo alipo ana tuvipande twa kitimoto choma anatutupia mdomoni kama karanga huku mkono mmoja kashika simu anapost reply JFEvilSpirit njoo kaka TUNAITWA ☺️ 😁 hukuu.
Mimi niliwaonaga mpaka advance walikuaga wanasababisha tusipige mapindi jumamosi kisaa wao wanasema watakua sabato hawafanyi kazi.Niseme tu kwa kifupi nguruwe na msabato bora nguruwe,nguruwe anaweza kukufanya uwe tajiri kwa kumuuza sasa msabato atakataa kufanya kazi za bosi wake jumamosi,usije ajiri msabato ni msumbufu sana
MOja ya kobazi kilaza JF nafikiri ni wewe.Wewe na huyu alie sema wote ni wapumbavu......kuna mtu alisilimu juzu akiwa anafuga nguruwe ila sheria ya Dini ili muhumru kuziua bila kuziumiza, ange ziuza kwa wengine ni sawa sawa na alio kula hiyo nyama.
Imani nyingine in reality ni kikwazo sana Daktari you are 4 realMimi niliwaonaga mpaka advance walikuaga wanasababisha tusipige mapindi jumamosi kisaa wao wanasema watakua sabato hawafanyi kazi.
AISEEEE wasabatoooo ndio mafarisayo wa zamani walio mtesa YESU KRISTO
Da nimechekaa kifalaMOja ya kobazi kilaza JF nafikiri ni wewe.
Mkiambiwa msome mnaona mnatukanwa.
Ni changamoto Sana Hawa ndugu zetu.Imani nyingine in reality ni kikwazo sana Daktari you are 4 real
Hivi tunaita vifungo,ni vifungo visivyo hitaji akili nyingi kuvibaini ,wenzao wanaofanya kazi jumamosi sijui wanatuona ni mashetani,imagine mtu wa namna hii pengine ndugu yake amepata ajali siku ya jumamosi hali sijui itakuwaje huko hospitali manesi na madaktari wakiwa washika sabato kama yeyeNi changamoto Sana Hawa ndugu zetu.
Ndio maana YESU KRISTO Ali kemea tabia kama hizo zisizofaaHivi tunaita vifungo,ni vifungo visivyo hitaji akili nyingi kuvibaini ,wenzao wanaofanya kazi jumamosi sijui wanatuona ni mashetani,imagine mtu wa namna hii pengine ndugu yake amepata ajali siku ya jumamosi hali sijui itakuwaje huko hospitali manesi na madaktari wakiwa washika sabato kama yeye