Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Hakuna wa kuniletea ubabaishaji humu dini yao naijua hasa, ni vile sipend mabishanoUtapigwaa maweeee
Huu sio ugali 😂
Hakuna wa kuniletea ubabaishaji humu dini yao naijua hasa, ni vile sipend mabishanoUtapigwaa maweeee
Hata kula hawajakatwazwa,bali ni zuio tu kama unachochakula mbadala ila kama huna chakula mbadala ruksa kufinyanga kitimoto bila hiyana.Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya,wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako katika Quran,aliendelea kufafanua kuwa Quran haijakataza kufuga nguruwe bali imekataza kula nguruwe,alisema hata yeye amekuwa akifuga nguruwe ambao wamempa manufaa ya kiuchumi ikiwemo uwezo wa kuwalipia karo watoto shuleni,alisisitiza waislamu hawakatazwi kufuga nguruwe kwa ajili ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umasikini
kuna mzenji alipangiwa kazi mbeya alafu jamaa swala 5 hasa,jamaa alitafuta uhamisho kwanguvu zake zote,madai yake anasema huku kitimoto nje nje shida ipo kwawatoto wanaweza kukaribishwa ugali kwajirani wakala bila kujua ni ugali nakitimotoWaislam wa Mbeya wanapitia wakati mgumu kwa hali ya ulaji wa mbuzikatoliki huko kwao.
Kila chochoro ni kaharufu murua ka mdudu.
Ukishakuwa tu muislamu na mental illness inaanzia hapo sijajua huo uelewa unatokea wapi nyangumi wa jangwani wewe.kusema tu ahera kuna mito ya pombe na mabikira kunadhihirisha hiyo mental disorder yenuSina hasira na shangaa mwanaume kua mpumbavu na muislamu wake uchwara, uelewa wa muislamu moja ni sawa sawa na Wagalatia 10 wenye degree Za theology hamna muislamu wa kuubili hilo.
Sasa mbona vijamaa vina chakula mbada lakini vinagonga kurunguwe mpaka vinachanganyikiwa hapo nilipo kuna mtu ana sigida usoni anatafuta nyama ya nguruweHata kula hawajakatwazwa,bali ni zuio tu kama unachochakula mbadala ila kama huna chakula mbadala ruksa kufinyanga kitimoto bila hiyana.
Hayo mambo ni "metaphor" huwezi kuaelewa we mpumbavu sana mnatanguliza chuki na dhihaki ya dini yetu.Ukishakuwa tu muislamu na mental illness inaanzia hapo sijajua huo uelewa unatokea wapi nyangumi wa jangwani wewe.kusema tu ahera kuna mito ya pombe na mabikira kunadhihirisha hiyo mental disorder yenu
Mpaka Sasa tunaongoza nguruwe 3_kobazi 0Hakuna wa kuniletea ubabaishaji humu dini yao naijua hasa, ni vile sipend mabishano
Huu sio ugali 😂
Nimekosa jibu la kumpa huyo shekhe...Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya,wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako katika Quran,aliendelea kufafanua kuwa Quran haijakataza kufuga nguruwe bali imekataza kula nguruwe,alisema hata yeye amekuwa akifuga nguruwe ambao wamempa manufaa ya kiuchumi ikiwemo uwezo wa kuwalipia karo watoto shuleni,alisisitiza waislamu hawakatazwi kufuga nguruwe kwa ajili ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umasikini
Kuna wale wanaotaka mabikira 72 wameamua kufuga madevu,hata Osama usikute alikuwa mfugaji mkubwa wa nguruwekipi ni kitu cha kijinga kufuga ndevu uwe kama osama au kufuga nguruwe ulipe karo kama aboubakar mwaibaibabire
wakalaleMpaka Sasa tunaongoza nguruwe 3_kobazi 0
Ngoja nimwite faidhafoxy 😂😂😂 tumchangieewakalale
Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya,wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako katika Quran,aliendelea kufafanua kuwa Quran haijakataza kufuga nguruwe bali imekataza kula nguruwe,alisema hata yeye amekuwa akifuga nguruwe ambao wamempa manufaa ya kiuchumi ikiwemo uwezo wa kuwalipia karo watoto shuleni,alisisitiza waislamu hawakatazwi kufuga nguruwe kwa ajili ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umasikini
Huyo atakuwa anachambana voo saa hz na kupiga ngano na beshete yake secretarybird maake wanajikuta ni wanazuoni wa kiswahili Cha Marko poloNgoja nimwite faidhafoxy 😂😂😂 tumchangiee
Shehe Ponda fuga nguruwe mimi nitakuja kununua kilo kumiItaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya,wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako katika Quran,aliendelea kufafanua kuwa Quran haijakataza kufuga nguruwe bali imekataza kula nguruwe,alisema hata yeye amekuwa akifuga nguruwe ambao wamempa manufaa ya kiuchumi ikiwemo uwezo wa kuwalipia karo watoto shuleni,alisisitiza waislamu hawakatazwi kufuga nguruwe kwa ajili ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umasikini
ndevu ni ufugaji usio na tija fuga ngurueUjinga kuwa na akili kama zako,
Kufuga ndefu kunahusiana nini na kufuga nguruwe au kufanya kazi?
Kwani wagalatia wote matajiri? Mbona hamuhimixani kufuga nguruwe?