adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Daah
Watu wanajiongeza wewe maamuma,mtu kaona kabisa watu wanavyooneemeka na ufugaji wa nguruwe kaamua kuchangamkia fursa,wewe baki na umaskini wako wa kuvaa kanzu zilizochanika matakoni na kobazi zilizolalia upande mmoja kwa kuisha soli hata Allah atakuona falaWaislamu hawashauriwi na mtu shekhe au yoyote yule, Bali hufuata Maandiko matakatifu ya Qur aan na Hadiyth za Mtume Muhammad صل الله عليه وسلم na si vinginevyo, huo ushauri haupo na ni uongo, waislamu hawawezi kukubali uwaambie maneno hayo ilhaali yanapingana na Qur aan, na umesema msemaji anawashaur wasiifuate Qur aan, huyo msemaji ni Mjasiriamali labda alikuwa akifundisha ujasiriamali, kwa waislamu wa kweli Hilo halina njia
Kwani kufuga nguruwe si ajira we kobazi wa wapi mbona huna maarifaHuo upumbavu upo kwa wagalatia, uislamu hauna ushauri ushauri,
Halafu Quran na Sunnah vimeelezea sana kuhusu kufanya kazi, hatuna haja ya huyo mpumbavu.
Halafu Tanzania Kuna kazi nyingi za kufanya, why iwe kufuga nguruwe tu?
Maalim,fuga kitimoto uokote maokoto.🫸🫷😝😝😝😝😝Anasoma kitabu gani huyu mtu wako? ni mgalatia kama wewe ndo nimesema wewe na mwenzio ni wapumbavu wa kutupwa.
Dah mchuano.mkali sana naona kobazi wanabutuabutua tu mpira bila utaratibuMpaka Sasa tunaongoza nguruwe 3_kobazi 0
Namjua jamaa mmoja muislamu tunakulaganae kitimoto na anafunga RAMADHANI 😄
Tunashukuru kwa shuhuda jamaaNinajamaa yangu ni kobazi tunaushirikiano nae katika ufugaji wa huyo kiumbe.....
Mbona umekasirika sana jamaa ushauri tu wa kufuga nguruwe ndio umekukasirisha hivi why,mbona huchukii watu kufuga majiniWaafrika lini mtatoka kwenye ujinga
Nyie si mlipewa Panya muwafuge wazaane wawe vitoweo mkawala
Bado wanyama wote hao mnashindwa kufuga kuanzia swala mpaka pimbi ila mnasubiri eti wazungu waje kuwaangalia
Kweli neema zote hizo, mtu afuge nguruwe
Tuna maisha ya kimbuzi kabisa
Hata Mito hatujui ipo kwa ajili ya nini
Upumbavu wake utamtesa sana,cha msingi angemtafuta kobazi mwenzake anayekukula kitimoto amuulize kama amedhulika kwa lolote kwa kula kitimoto,kama hajadhulika aombe apewe kipande kidogo cha nguruwe wa kukaanga akionje kikimpendeza mdomoni aombe kingine,hivyo hivyo mpaka anamaliza sahani yote,nadhani baada ya hapo atakuwa balozi mzuri wa kitimoto kwa kobazi wenzakekuna mzenji alipangiwa kazi mbeya alafu jamaa swala 5 hasa,jamaa alitafuta uhamisho kwanguvu zake zote,madai yake anasema huku kitimoto nje nje shida ipo kwawatoto wanaweza kukaribishwa ugali kwajirani wakala bila kujua ni ugali nakitimoto
Kwa hiyo hii habari imekunogea ukaona utuletee na sisi dah kweli no transformer no electricityItaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako katika Quran,aliendelea kufafanua kuwa Quran haijakataza kufuga nguruwe bali imekataza kula nguruwe,alisema hata yeye amekuwa akifuga nguruwe ambao wamemletea manufaa ya kiuchumi ikiwemo uwezo wa kuwalipia karo watoto shuleni,alisisitiza waislamu hawakatazwi kufuga nguruwe kwa ajili ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umasikini.Ushauri wangu kwa waislamu wa jf na wengineo waanze kusoma nyuzi za namna ya ufugaji bora wa nguruwe au tuseme ufugaji wenye tija
Hata peponi waislamu wameahidiwa kuwa kutakuwa na pombe sio za chupa bali za mito unachota mtoni mwenyewe kwa ndoo ,dumu ,pipa au ufunge bomba kwenda kwenu ni wewe tu
Msikilize Shehe Kipozeo akiongelea mito ya pombe waislamu watakayo kuta peponi wanywe pombe watakavyo
View: https://youtu.be/LW7e3PudD7k?si=CRGH46G58LTtAOHe
mnaposema hafai kula....Kuna muunganiko Gani kati ya roho na utumbo ??Tatizo mtu tunashinda nae kwenye vijiwe vya kahawa, huku anaijua dini dah. Mimi naona sawa kama ameamua kufuga kwa Imani yake, na wewe kwa Imani hiyo usifuge.
Kwahiyo shehe unataka kuniambia kila anayeleta taarifa humu maana yake hiyo taarifa imemnogea,shehe mbona umefilisika kiakili namna hiyo,nini kimekupata kwenye hiyo sehemu iliyobebwa na shingo yakoKwa hiyo hii habari imekunogea ukaona utuletee na sisi dah kweli no transformer no electricity
Fuga wewe uwe tajiri Mimi nitabaki na Uislamu wangu, na Waislamu watabaki na Uislamu wao.Watu wanajiongeza wewe maamuma,mtu kaona kabisa watu wanavyooneemeka na ufugaji wa nguruwe kaamua kuchangamkia fursa,wewe baki na umaskini wako wa kuvaa kanzu zilizochanika matakoni na kobazi zilizolalia upande mmoja kwa kuisha soli hata Allah atakuona fala
Yule sio nyoka kusema atakudonoa kalio,ni.mfugo wenye nyama safi kabisa,fuga tu shehe usiwasikize maquraysh wamekupotosheni vya kutosha sasa ni wakati wenu wa kuujua ukweli,acha kuishi na akili za kikurayshFuga wewe uwe tajiri Mimi nitabaki na Uislamu wangu, na Waislamu watabaki na Uislamu wao.
Mpaka Sasa dakika ya 85's kobazi ameshakula 5_0Dah mchuano.mkali sana naona kobazi wanabutuabutua tu mpira bila utaratibu
Wanasema eti refa anawabeba wafuga nguruweMpaka Sasa dakika ya 85's kobazi ameshakula 5_0
Waquraysh weusi watakubasa humu jukwaaniWenka link ofisa nikajionee CHAUMMA wa kiislamu
Haaahaa 😊, waache visingizio Hawa kobazi REFA yupo fair Tena ni WA upande wao.Wanasema eti refa anawabeba wafuga nguruwe