Waislamu wenye msimamo mkali wafunga mtaa London wakitaka kuwepo kwa Sheria za Kiislamu nchini Uingereza

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu.

Hali si hali huko London na hii ni baada ya waislamu wenye msimo mkali kuandamana huko Uingereza wakitaka uwepo wa Sharia Laws.

Kinachoshangaza zaidi ni kwamba polisi wa Uingereza walikuwa wamekaa tu wanawaangalia bila kufanya lolote.

Soma pia: Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Europe is weak. Na muda si mrefu hawa wataenda pale Buckingham Palace kumtoa Prince Charles na familia yake.

Si wanawake si wanaume wote walikuwa wanasema "Sharia Laws For Uk"

Hivi hii ni sawa wakuu?

Your browser is not able to display this video.
 
Wanachokitafuta watakipata
 
Hawafai hawa Imani Yao ilienezwa na mud Kwa mapanga
 

Ati Mwingereza aache Scotch Whisky halafu awe anasikiliza Fatwa za Shura ya MaAyatolah?!.

Kwamba Whisky ataenda kunywea kwa Allah atakapofika Ahera?! Mwingerza hadanganyiki kirahisi hivyo kama huku Uswahilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…