Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Kama nchi zote zilizotawaliwa na UK zina English Common Law kama msingi wa sheria mama zao, kwanini UK wasiwe na Sharia Law?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ardhio ulihaidi kuwa utafanya setting, lakini umekuwa mtoa Ahadi kama za Waziri MAJARIWA 😁😁. ( punguzeni vile vibibi vilivyopo pale TBC)Ndo mana nasemaje mkuu...
Wee angalia aridhio, ukichoka nenda safari Tv ila huku watakubonda 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu utapigwa ooooh oooh
😂wawape haki yao wazungu si wazee wa haki kama wameweza kuwapa haki mashoga iweje kwa wageni kutoka arabuni wanaotaka sheria zao!..😅
Tutakufatilia wewe jichanganye tuuu 😂 😂 😂Ardhio ulihaidi kuwa utafanya setting, lakini umekuwa mtoa Ahadi kama za Waziri MAJARIWA 😁😁. ( punguzeni vile vibibi vilivyopo pale TBC)
. Hawawezi mkuu, hata hivyo inabidi tutoe Ushauri kidunia ili waludishwe hata SYRIA 😅😅
🤓🤓🤓🤓. Sawa mkuu...Tutakufatilia wewe jichanganye tuuu 😂 😂 😂
Kuhusu alidhio tunaomba msamaha maana kama unavojua huku serikalinu mambo yetu ni taratibu sana ,🙌🙌🙌
Nina msimamo mkali sana mkuu achaaa achaaa kabisa 😂🤓🤓🤓🤓. Sawa mkuu...
Unafanya misimamo kwenye familia uliyokaribishwa ujikinge mvua tu?Uislamu ndio Dini yenye msimamo mkali duniani.
Msimamo mkali wapi mazuzu haoUislamu ndio Dini yenye msimamo mkali duniani.
Uislamu upi mkuu? Wa Mudi ama wa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn ali A.S?Uislamu ndio Dini yenye msimamo mkali duniani.
Uislamu ndio Dini yenye msimamo mkali duniani.
Duuh!! Netanyahu ana shabaha sana kailenga katikati ya Bawasiri 😂
Hii katuni ustaadh ungefungwa miaka thelathini mung'anda.😂😂😂