Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤓🤓.... Andika wosia mkuu.. Kabla hujachukua maamuzi mazito.. Usisahau kunipa Details za bank 🏦.Astakafillah.... Ndugu unajua unazidi kunipa hasira ujue
Nipp live mkuu TBC hapo mitamboni🤓🤓.... Andika wosia mkuu.. Kabla hujachukua maamuzi mazito.. Usisahau kunipa Details za bank 🏦.
Una host kipindi cha "kuwatakia kheri waliotangulia mbele za haki" ☺️☺️☺️Nipp live mkuu TBC hapo mitamboni
Mkuu nipo nyuma ya camera hapa....Una host kipindi cha "kuwatakia kheri waliotangulia mbele za haki" ☺️☺️☺️
Kubaka na kuua?Wanachokitafuta watakipata
Soon watapakiwa kwenye ndegeWakuu.
Hali si hali huko London na hii ni baada ya waislamu wenye msimo mkali kuandamana huko Uingereza wakitaka uwepo wa Sharia Laws.
Kinachoshangaza zaidi ni kwamba polisi wa Uingereza walikuwa wamekaa tu wanawaangalia bila kufanya lolote.
Soma pia: Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)
Europe is weak. Na muda si mrefu hawa wataenda pale Buckingham Palace kumtoa Prince Charles na familia yake.
Si wanawake si wanaume wote walikuwa wanasema "Sharia Laws For Uk"
Hivi hii ni sawa wakuu?
Ni nchi yao hawalazimishwi cha kufanyaKama nchi zote zilizotawaliwa na UK zina English Common Law kama msingi wa sheria mama zao, kwanini UK wasiwe na Sharia Law?
Kama nimekuelewa yani sheria zao ni ngumu kwa hiyo wataenda kusipokuwepo na hizo sheria kwa makafikri kama wao wanavyowaita ili waishi kwa amani na uhuruHao ni Hizb ul Tahrir Kiongozi wao yuko Jela kwa kutuma Fedha kwenye Vikundi vya Kigaidi Duniani.
Hao ndiyo wenye akili.Ni watu wasio na akili (vichaa wa uingereza) ndio wameandamana.