Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Jiulize kwanza kwanini wapo Uingereza, to begin with. Kurudi kwao haiwezekani. Uingereza ndiyo nchi yao. Wamezaliwa Uingereza na watakufa Uingereza.Sio wahamie, warudi walipotoka. Waislam wengi Uingereza wameyoka Pakistan na Africa.