Waislamu wenye msimamo mkali wafunga mtaa London wakitaka kuwepo kwa Sheria za Kiislamu nchini Uingereza

Waislamu wenye msimamo mkali wafunga mtaa London wakitaka kuwepo kwa Sheria za Kiislamu nchini Uingereza

Ndo maana kuna nchi haya majamaa hayapewi space
 
Ulishawahi kusikia uchaguzi wa Mfalme wa Uingereza?
Sasa achaguliwe Nchi ngapi?! Siku UK Australia Canada nk. Zikiamua kuwa Republic of course itabidi lakini so far King Charles ni head of State kwenye Nchi nyingi zilizokuwa Himaya ya Mwingereza.
 
Magaidi hatari wenye lengo la kufuta Dini zote za "Kikafiri".

Vipi umewapenda Bibie?!
Sasa kafiri tena, sini aitowe wapi?

Hizo unazosema wewe ni amri za biblia:

Luka 19:27 Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
 
Sasa achaguliwe Nchi ngapi?! Siku UK Australia Canada nk. Zikiamua kuwa Republic of course itabidi lakini so far King Charles ni head of State kwenye Nchi nyingi zilizokuwa Himaya ya Mwingereza.
Ulishawahi kusikia uchaguzi wa Mfalme wa Uingereza?
 
Uislam ni mwema sana.
250px-Taliban_execute_Zarmeena_in_Kabul_in1999_RAWA.jpg
 
Mfalme wa Uingereza ni Head of State wa UK Canada Australia New Zealand na visiwa mbali mbali.

Nchi zote hizo Demokrasia imetawala chaguzi huru haki za Binadamu nk.

Tofauti sana na Falme za Kiislamu ambazo hazina Demokrasia wala Haki za Binadamu.
Kwenu kuna demokrasia na haki za binadam?
 
Back
Top Bottom