Waislamu wenye msimamo mkali wafunga mtaa London wakitaka kuwepo kwa Sheria za Kiislamu nchini Uingereza

Waislamu wenye msimamo mkali wafunga mtaa London wakitaka kuwepo kwa Sheria za Kiislamu nchini Uingereza

Ni vituko duniani na ni wapuuzi. Kwanza ni wahamiaji waliokaribishwa kwa wema halafu wanaleta ushetani wao. Hizo sharia zibaki kwenye zao walizotoka. Ikiwezekana watimuliwe warudi kwenye nchi zao za asili
 
Hayo ni yako ambayo hayaondoi ukweli kuwa sharia ndiyo suluhisho la matatizo ya duniani.
alcohol-local-tanzania-konyagi-gin-119030861.jpg

Bibie, kunywa Bapa achana na mafundisho ya uongo ya Ayatolah.

Netanyahu kila siku anagonga Whisky halafu anagusa Button kwa Glass kitu kinaenda Gaza.
 
mwenye macho haambiwi tazama.. mzee hiyo ni siasa huoni kabisa hao wamekaa kipandikizi kwa ajili ya jambo flani..
 
Wakuu.

Hali si hali huko London na hii ni baada ya waislamu wenye msimo mkali kuandamana huko Uingereza wakitaka uwepo wa Sharia Laws.

Kinachoshangaza zaidi ni kwamba polisi wa Uingereza walikuwa wamekaa tu wanawaangalia bila kufanya lolote.

Soma pia: Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Europe is weak. Na muda si mrefu hawa wataenda pale Buckingham Palace kumtoa Prince Charles na familia yake.

Si wanawake si wanaume wote walikuwa wanasema "Sharia Laws For Uk"

Hivi hii ni sawa wakuu?

Uislam ni mmoja tu. Hakuna siasa kali wala baridi kwenye Uislam.

Msidanganyane.
 
View attachment 3134507
Bibie, kunywa Bapa achana na mafundisho ya uongo ya Ayatolah.

Netanyahu kila siku anagonga Whisky halafu anagusa Button kwa Glass kitu kinaenda Gaza.
Kasome bi lia ujione ulivyo mpumbavu.

Isaya 29:9
Endeleeni kuwa wapumbavu na kuduwaa! Jipofusheni na kuwa vipofu! Leweni lakini si kwa divai; pepesukeni lakini si kwa pombe.
 
Wakuu.

Hali si hali huko London na hii ni baada ya waislamu wenye msimo mkali kuandamana huko Uingereza wakitaka uwepo wa Sharia Laws.

Kinachoshangaza zaidi ni kwamba polisi wa Uingereza walikuwa wamekaa tu wanawaangalia bila kufanya lolote.

Soma pia: Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Europe is weak. Na muda si mrefu hawa wataenda pale Buckingham Palace kumtoa Prince Charles na familia yake.

Si wanawake si wanaume wote walikuwa wanasema "Sharia Laws For Uk"

Hivi hii ni sawa wakuu?

Sheitwan na vurugu damudamu,Acha awaoneshe si wamempa nafasi wenyewe.
 
Tanzania tumeshakataa hatutaki hivyo vijisheria vya kipumbavu vya karne ya saba na uzuri hata wanaojiita waislam ktk Tanzania asilimia kubwa hawavitaki kabisa na ndio maana ktk Tanzania wengi wa wanaojiita waislam wanakunywa pombe na wengi wa barmaids pia ni haohao.
Si aNdiyo maana unaiona Tanzania ni ombaomba wa kimataifa licha ya mali asili zote alizotujaalia Mwenyezi Mungu.

Anza kufikiri kwa kutumia moyo wako siyo ukondoo wako uliojazwa nao kichwani.
 
Mfalme wa Uingereza ni Head of State wa UK Canada Australia New Zealand na visiwa mbali mbali.

Nchi zote hizo Demokrasia imetawala chaguzi huru haki za Binadamu nk.

Tofauti sana na Falme za Kiislamu ambazo hazina Demokrasia wala Haki za Binadamu.
Demokrasia ya kuowana wanaume kwa wanaume? Au kuowana na mbwa, ndizo unazozisifia hizo?
 
Wakuu.

Hali si hali huko London na hii ni baada ya waislamu wenye msimo mkali kuandamana huko Uingereza wakitaka uwepo wa Sharia Laws.

Kinachoshangaza zaidi ni kwamba polisi wa Uingereza walikuwa wamekaa tu wanawaangalia bila kufanya lolote.

Soma pia: Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Europe is weak. Na muda si mrefu hawa wataenda pale Buckingham Palace kumtoa Prince Charles na familia yake.

Si wanawake si wanaume wote walikuwa wanasema "Sharia Laws For Uk"

Hivi hii ni sawa wakuu?

Hawa jamaa wakienda kwa Allah kisha wakakuta kweli mito ya Pombe watamuambia Allah this is haram haram muogope Allah.. Ndio maana Mwisho wa Dunia haufiki maana Allah keshajua majaa ni majanga haya bora Dunia iendelee tu.. huku Hamas kule Hezbollah wanajitoa tu kisa mademu wa Allah hahaha Allah mbona ana kazi kubwa dhidi ya wapenda papuchi
 
Jamaa walivamia Iraq,Misri,Uturuki,Libya,Mauritania,Lebanon,SyriaAlmenia,Russia n.k Wakadai kisha wakaja sema ni ardhi za Waarabu bila kuisahau Israel na Jordan
 
Back
Top Bottom