Waislamu wenye msimamo mkali wafunga mtaa London wakitaka kuwepo kwa Sheria za Kiislamu nchini Uingereza

Waislamu wenye msimamo mkali wafunga mtaa London wakitaka kuwepo kwa Sheria za Kiislamu nchini Uingereza

Je Uislam ni Dini ya Amani?
 

Attachments

  • images - 2024-10-25T062723.391.jpeg
    images - 2024-10-25T062723.391.jpeg
    60.1 KB · Views: 3
Safi xnaa ..yaani tushawaambia jinsi mnavouchukia ndio unazid kuenea
..kama dini yenu haina hata katiba ni yenu
Sie tunapambania dini yetu nyie mnachukia ??
JE UISLAM NI DINI YA AMANI?
 

Attachments

  • images - 2024-10-25T062723.391.jpeg
    images - 2024-10-25T062723.391.jpeg
    60.1 KB · Views: 2
Mfalme wa Uingereza ni Head of State wa UK Canada Australia New Zealand na visiwa mbali mbali.

Nchi zote hizo Demokrasia imetawala chaguzi huru haki za Binadamu nk.

Tofauti sana na Falme za Kiislamu ambazo hazina Demokrasia wala Haki za Binadamu.
Churchill alishasema mara kadhaa
 

Attachments

  • images - 2024-10-25T062939.570.jpeg
    images - 2024-10-25T062939.570.jpeg
    14.7 KB · Views: 2
Sheria (laws) zilikuwepo kabla hata ya uwepo wa Allah.
Qur'an 35:3. Enyi watu! Kumbukeni neema za Allah juu yenu. Ati yupo muumba mwengine asiye kuwa Allah anaye kupeni riziki kutoka mbinguni na kwenye ardhi? Hapana mungu ila Yeye tu. Basi wapi mnako geuzwa? 3
 
JE UISLAM NI DINI YA AMANI?
Nimemuuliza swali lako chatgpt, kajibu hivi:

Ndiyo, Uislamu ni dini ya amani. Neno "Uislamu" lenyewe linatokana na neno la Kiarabu "Salaam," linalomaanisha amani. Msingi wa mafundisho ya Uislamu ni kuleta amani kwa wafuasi wake na kwa jamii kwa ujumla. Uislamu unasisitiza juu ya uadilifu, uvumilivu, na huruma kwa wanadamu wote, bila kujali dini, rangi, au asili yao.

Mafundisho ya Uislamu yanahimiza wafuasi wake kutenda haki, kuepuka vurugu, na kuishi kwa amani na jirani zao. Qur'an, kitabu kitakatifu cha Uislamu, kinahimiza waumini kutafuta amani na kusamehe, na Mtume Muhammad (SAW) aliweka mfano wa jinsi ya kuishi kwa amani na watu wa dini na makabila mbalimbali.

Hata hivyo, kama ilivyo kwa dini nyingine, matendo ya baadhi ya watu wanaoitwa Waislamu ambao hawafuati kikamilifu maadili ya Kiislamu yamechangia taswira isiyo sahihi ya Uislamu. Hivyo, ni muhimu kutambua kuwa vitendo vya wachache havipaswi kutumiwa kuihukumu dini yote. Waislamu wengi ulimwenguni wanaamini na kutenda kwa kuzingatia amani na upendo kwa wengine.
 
Wanachokitafuta watakipata
Je, kuna Mahakama ya Sharia Uingereza?

Ndiyo, kuna mahakama za Sharia nchini Uingereza, ingawa hazifanyi kazi kama mahakama rasmi za serikali. Badala yake, hivi ni vyombo vya usuluhishi vya jamii ya Waislamu ambavyo vinafanya kazi kwa msingi wa Sharia, hasa kwa masuala yanayohusiana na ndoa, talaka, mirathi, na migogoro ya kifamilia. Mahakama hizi zinahudumia wafuasi wa Kiislamu ambao wanapendelea kutatua migogoro yao kwa kufuata sheria na taratibu za Kiislamu badala ya mahakama za kawaida za Uingereza.

Hata hivyo, mamlaka ya mahakama hizi ni ya hiari na inategemea makubaliano ya pande zinazohusika. Uamuzi wao unatekelezwa tu kama pande zote zinaukubali.. .
 
Hakuna kuuwa bila kwanzq wwwewe kuuwa katika Uislam. Ukiuwa na wewe unauliwa.


Uislam pekee ndiyo wenye hukumu njema na fair kabisa za sharia. Hakuna loingolongo.


Unafahamu kuwa katika Sharia unaweza kuuwa na una hatia na ukaachiwa huru kama warithi wamekusamehe?

Nambie ipo hiyo kwenye sheria ipi nyingine duniani?

Madam are you a philosophy and comparative lawyer? Kama hujui law families of the world 🌎 nakushauri usiongelee suala hili. Vinginevyo utakuwa unaongozwa na huba za tamaduni za kiarabu. Ambazo najua unazipenda Madam wangu.
 
7b70907c8631b55efba07f6af71e38cc.jpg

Wakati West Watu wamejikita katika Elimu na Uvumbuzi na Technologia Waislamu wako Bize na kuvumbua aina mbali mbali za Hijabu kama hii iitwayo "Paranja" Hijabu New Model limeongezewa Mkonga.

Ati asipovaa Wanaume wa Kiislamu wakimuangalia watasikia hamu na kiu ya Ngono😆

FaizaFoxy je wewe unaweza kuvaa?
 
Uislam ni mmoja tu. Hakuna siasa kali wala baridi kwenye Uislam.

Msidanganyane.

Mbona ukiwa bongo utawaona wale wanaume wanaovaa tukaboka eti ndiyo msimamo mkali. Wale wanaovaa suruali za kawaida ni msimamo mpole.
 
Acha upotoshaji,kuna Shia kuna Sunni kuna Druze kuna Ahmadiya kuna Khoja nk.

Unampotosha nani Bibie?!

Mimi nakuuliza , unajuwa maana ya kuwa Muislam ni nini?

Ngoja nimupe darsa dogo, litakusaidia kuweka [pembeni akili za kikondoo.

Kama ulikuwa huelewi; Ili uwe Muislam ni lazima uzikubali kwa nia na vitendo nguzo za Uislam.

Unajuwa Uislam una nguzo ngapi, na zipi?
 
Mimi nakuuliza , unajuwa maana ya kuwa Muislam ni nini?
Mbona Sunni anamuita Shia Kafir?! Mbona huko Pakistan Aswari Sunni wanalipua Waislamu poa wanaofanya Maulidi katika Misikiti ya Ahmadiya?!

Wewe Bibie acha kutudanganya hebu angalia 👇
Majeneza ya Shia waliouwawa na Sunni
1C4435820-121024-sunni-shiite-violence-kb-1040a.jpg

Imagine wakiishika Uingereza?!
 
Mbona Sunni anamuita Shia Kafir?! Mbona huko Pakistan Aswari Sunni wanalipua Waislamu poa wanaofanya Maulidi katika Misikiti ya Ahmadiya?!

Wewe Bibie acha kutudanganya.
Shida ya FaizaFoxy anaamini kila kitu, ili mradi kisemwe au kuandikwa kwa kiarabu.
 
Back
Top Bottom