Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
🤔🤔🤔🤔🤔Maana kama VP anaweza kuondolewa tukaletewa mwingine...itakuwaje tuone Rais anatoweka, hatujui aliko, siku chache baadaye tunaambiwa "inna illahi wa inna lillahi rajioun", mwingine anaapishwa....
Inakukumbusha kitu chochote?
Atolewe na nanj wakati wewe unajibanza banza hapo marekani?Kwanini huyo rais asitolewe awekwe mwingine?
Na hakuna ndugu, rafiki wala Jamaa aliyesema kapotelewa na ndugu yake EN; hata kwa kupigia mayowe gizani!Aliyesemwa kajiuzulu hajaonekana...
Inawezekana pia hakukuwa na mazungumzo yeyote na Mzee Warioba.Nafikiri mazungumzo ya Mzee Warioba na VP Nchimbi ndio yanafanya tuamini ni yeye mwenyewe alijiuzuru. Tatizo kwasasa ni kusemekana hapatikani na wengi walitegemea angetokea kwenye uapisho wa mwenzake hajakwenda! Leo wengi wakajua atatokea Kanisani kama kawaida yake na hajaonekana! Sasa hii itazua wasiwasi mkubwa
Na. M. M. Mwanakijiji
Wanasifia "Katiba yetu nzuri"
Wanasema wameridhia EN ajiuzulu
Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine
Wakampitisha Bungeni
Wakaenda kumuapisha Ikulu
Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti
Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga...
Siku tano baadaye...
Aliyesemwa kajiuzulu hajaonekana...
Wanaosifia Katiba nzuri hawatuambii kama hiyo Katiba imemlinda aliye"jiuzulu"...
Hakuna aliyeonesha hadi leo EN akisema amejiuzulu kwa hiari yake au hata kuonekana akikabidhi barua au ofisi kwa makamu mpya!!! Sasa ikitokea wanatuonesha mwili wake marehemu...nabkujitokeza kutoa poleee...si bado watatuambia "Bwana ametoa, Bwana ametwaa"?
Kama Katiba hii ni nzuri sana...kuna ubaya gani EN aelezee bila mtutu wa bunduki sikioni alivyojiuzulu?
Maana kama VP anaweza kuondolewa tukaletewa mwingine...itakuwaje tuone Rais anatoweka, hatujui aliko, siku chache baadaye tunaambiwa "inna illahi wa inna lillahi rajioun", mwingine anaapishwa....
Inakukumbusha kitu chochote?
Ni kwa maslahi yao kuliambia taifa alipo Nchimbi. Au wapotezee atoweke kama...
1.
Kwa Magufuli walimtanguliza Mzena hospital.Na. M. M. Mwanakijiji

Jasusi Chahali anasema ile barua inayosambaa hakuandika Nchimbi, ila kuna nyingine ambayo kaandika haijatolewa.Na. M. M. Mwanakijiji
Wanasifia "Katiba yetu nzuri"
Wanasema wameridhia EN ajiuzulu
Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine
Wakampitisha Bungeni
Wakaenda kumuapisha Ikulu
Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti
Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga...
Siku tano baadaye...
Aliyesemwa kajiuzulu hajaonekana...
Wanaosifia Katiba nzuri hawatuambii kama hiyo Katiba imemlinda aliye"jiuzulu"...
Hakuna aliyeonesha hadi leo EN akisema amejiuzulu kwa hiari yake au hata kuonekana akikabidhi barua au ofisi kwa makamu mpya!!! Sasa ikitokea wanatuonesha mwili wake marehemu...nabkujitokeza kutoa poleee...si bado watatuambia "Bwana ametoa, Bwana ametwaa"?
Kama Katiba hii ni nzuri sana...kuna ubaya gani EN aelezee bila mtutu wa bunduki sikioni alivyojiuzulu?
Maana kama VP anaweza kuondolewa tukaletewa mwingine...itakuwaje tuone Rais anatoweka, hatujui aliko, siku chache baadaye tunaambiwa "inna illahi wa inna lillahi rajioun", mwingine anaapishwa....
Inakukumbusha kitu chochote?
Ni kwa maslahi yao kuliambia taifa alipo Nchimbi. Au wapotezee atoweke kama...
1.
Huyu rais amekuwa mtiifu kwa wenye nchi yao waliompigania mwaka jana ili asalie madarakani.Kwanini huyo rais asitolewe awekwe mwingine?
Kwa mujibu wa Mzee Warioba,hapatikani kwenye simu licha ya jitihada za kumtafuta. Yuko wapi?Kwa mujibu wa AG kwa sasa hata uthibitisho wa kujouzulu wa makamo hauhitajiki kufuatia kuvuliwa uanachama
AG ambaye moja ya vipaumbele vyake ilikuwa ni kumkamata Mange Kimambi, unamuona ana akili zenye utimamu?Kwa mujibu wa AG kwa sasa hata uthibitisho wa kujouzulu wa makamo hauhitajiki kufuatia kuvuliwa uanachama