Waitaliano hawana kazi mbovu, Simba inaenda kuvaa pamba kali sana

Waitaliano hawana kazi mbovu, Simba inaenda kuvaa pamba kali sana

Mleta mada analeta habari za kitoto humu

Idiot kabisa...!!!

Eti jezi zitadizainiwa na Diadora 😀

Kampuni kubwa kama hio utawalipa tsh ngapi kuingia mkataba wa kudizaini na kutengeneza vijezi vyako vya buku jero afu uje uuze bongo kwa tsh 20k,30k& 40k ndo u-make profit

Yanga designer wao wa Jezi ni mbongo bw Sheria na bei ya jezi ni 30k,40k

Afu eti Jayrutty ndo akaingie contract na Diadora ili jezi auze 100k au...!???
Haya jiite Idiot
 
Mleta mada analeta habari za kitoto humu

Idiot kabisa...!!!

Eti jezi zitadizainiwa na Diadora 😀

Kampuni kubwa kama hio utawalipa tsh ngapi kuingia mkataba wa kudizaini na kutengeneza vijezi vyako vya buku jero afu uje uuze bongo kwa tsh 20k,30k& 40k ndo u-make profit

Yanga designer wao wa Jezi ni mbongo bw Sheria na bei ya jezi ni 30k,40k

Afu eti Jayrutty ndo akaingie contract na Diadora ili jezi auze 100k au...!???
Crap
 
Adidas kama huu msimu kapuyanga katoa jezi ambazo mtu mnene hawezi vaa othewise unaonekana umebinuka mgongo hizi ni harakati za ushoga tafuta jezi ya adidas ambayo imevaliwa ma mtu mnene au mwenye kitambi ucheke
Sio unaonekana umebinuka mgongo…. Ndivyo tulivyo tukinenepa tunakua kama dubu
 
Hakuna mtengeneza jezi nchi hii anae enda kudisigniwa ulaya
Jezi zote zinatengenezwa China
Naona unazungumza mambo mawili tofauti kwa wakati mmoja, designing and production. Kwani Sheria Ngowi kwenye jezi za Yanga huwa anaenda China kufanya designing?
 
Hakuna mtengeneza jezi nchi hii anae enda kudisigniwa ulaya
Jezi zote zinatengenezwa China

Jezi ikitengenezwa Ulaya basi tarajia bei yake isipungue tsh 80k,
Sasa kwa uchumi wa mashabk wetu wataweza kumudu hizo bei...!???
Zinadizainiwa Kwa mwenye brand na kuwa manufactured in china

Know your stuff
 
Linapokuja suala la fashion, hakuna taifa linaloipiku Italia kwenye ubunifu wa mavazi. Kidogo Mfaransa anajitahidi ila Muitaliano ni habari nyingine kabisa. Huko ndiyo wanapotoka kina Armani, Prada, Gucci, Versace, Fendi, Dolce & Gabbana, Cavalli, Valentino, nk.

Baada ya kusikia kuhusu mkataba wa mtengezaji na msambazaji mpya wa jezi za Simba JayRutty kuwa ana mahusiano ya kibiashara na Diadora ambaye ni designer wa Italy na ndiye anayeenda kubuni na kutengeneza bidhaa za mkataba huo, nikasema hapa sasa ndiyo patamu.

Kwa ufupi, design ya jezi za Simba inaenda kuwa ya uhakika zaidi. Tutegemee siyo tu jezi kali, ila pia mashati makali, kofia kali, mabegi makali, watuletee hata raba kali za Simba tutavaa.

View attachment 3306764

Diadora pia wamewahi kuvalisha timu mbalimbali kama vile A.S Roma, Aston Villa, Sunderland na timu ya taifa ya Scotland.

Kwa wale wana Hip Hop, Diadora wametajwa sana kwenye mistari ya wasanii wakubwa kama Nas, Future, Young Thug, Meek Mill na wengine wengi. Pia wamewahi Ä·uwa na mikataba na wanamichezo wakubwa kama Boris Becker na Jennifer Capriati hawa ni wacheza tennis na wasanii kama Raekwon kutoka kundi la Wu-Tang Clan.

View attachment 3306766

Nikitulia nitatoa mawazo yangu kwa upana zaidi kuhusiana na maelezo yote yaliyotolewa leo kuhusiana na mkataba huu.
Unaamini simu tunazotumia tz ulaya hazitumiki?? Kwaani vibovu vinakuja huku?? Itakuwa nembo tu ila quality haiwezi kuwa sawa maana bongo hakuna mtu wa kununua jezi kwa tsh 200000 hadi 500000 na kama wapo ni very very very few. So ukisoma uchumi nadhani utakuwa umenielewa
 
Huyu pichani ni mchezaji wa zamani wa Simba Selemani Matola akiwa kanyuka uzi chapa Diadora 😀

Haya mambo jamani yaangalieni tu kama yalivyo, kuna sanaa nyingi sana behind the scene
1000074310.jpg

Sijaelewa ulitaka kusema nini. Zama zimebadilika.
 
Back
Top Bottom