Waitaliano hawana kazi mbovu, Simba inaenda kuvaa pamba kali sana

Haya jiite Idiot
 
Crap
 
Adidas kama huu msimu kapuyanga katoa jezi ambazo mtu mnene hawezi vaa othewise unaonekana umebinuka mgongo hizi ni harakati za ushoga tafuta jezi ya adidas ambayo imevaliwa ma mtu mnene au mwenye kitambi ucheke
Sio unaonekana umebinuka mgongo…. Ndivyo tulivyo tukinenepa tunakua kama dubu
 
Hakuna mtengeneza jezi nchi hii anae enda kudisigniwa ulaya
Jezi zote zinatengenezwa China
Naona unazungumza mambo mawili tofauti kwa wakati mmoja, designing and production. Kwani Sheria Ngowi kwenye jezi za Yanga huwa anaenda China kufanya designing?
 
Hakuna mtengeneza jezi nchi hii anae enda kudisigniwa ulaya
Jezi zote zinatengenezwa China

Jezi ikitengenezwa Ulaya basi tarajia bei yake isipungue tsh 80k,
Sasa kwa uchumi wa mashabk wetu wataweza kumudu hizo bei...!???
Zinadizainiwa Kwa mwenye brand na kuwa manufactured in china

Know your stuff
 
Unaamini simu tunazotumia tz ulaya hazitumiki?? Kwaani vibovu vinakuja huku?? Itakuwa nembo tu ila quality haiwezi kuwa sawa maana bongo hakuna mtu wa kununua jezi kwa tsh 200000 hadi 500000 na kama wapo ni very very very few. So ukisoma uchumi nadhani utakuwa umenielewa
 
Huyu pichani ni mchezaji wa zamani wa Simba Selemani Matola akiwa kanyuka uzi chapa Diadora 😀

Haya mambo jamani yaangalieni tu kama yalivyo, kuna sanaa nyingi sana behind the scene

Sijaelewa ulitaka kusema nini. Zama zimebadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…