Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Hajui maana ya uhuru yule karume wa zanzibar alihoji sasa yupo wapi?Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama.
"Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde sasa hivi ni Waziri na Mollel naye ni Waziri hawa 19 nao tunao na mimi nakula upepo humu bungeni kupitia Tarime vijijini sasa mnataka nini tena, sio unakaa na chama ambacho mtu ukihoji anakufukuza, CCM mtuonee huruma tuliokuwa kule tulichelewa sana, niwashauri na nyie ni akina mama (Halima Mdee na wenzake) si mje tu CCM kazi iishe" - Mwita Waitara
Nini maoni yako?
Membe alihoji alifanywa nn?
Mzee makamba na kinana nini
Mzee jumbe kiliwakuta?
Wakati mwingine tuwe tunapima kiwango cha ulevi kabla hawajaingia bungeni