Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameona hana alilolifanya huko... bora akadanganye wengineJamaa ameamua kukimbia Ukonga!? Au ameona itakuwa ngumu kupita kura za maoni? Maana hii ya juzi baada ya kuhama alipitishwa kwa mbeleko ya mwenyekiti.
NOW I KNOW......Kuna maswali matatu kabla sijachangia;
1. Kwa nini Waitara katika wabunge wote waliohama kutoka upinzani ndiyo mbunge wa upinzani pekee aliyepata nafasi ya u-Naibu Waziri ?
2. Kwa nini Waitara anajiamini kiasi hicho kuwa haogopi hata Mwenyekiti wa CCM-Mkoa kugombea na kushinda Jimbo la Tarıme ?
Jibu liko hapa:
Huyu Mwita Waitra amepata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwa
Dah!Kuna maswali matatu kabla sijachangia;

Yuko mahali alikotokaTabia za kurithi hazibadiliki hata kwa kufanya Nini, Mhe. Waitara amerithi tabia za kusema hovyo kutoka alipotoka na anashindwa kubadilika
Waitara is a grown up pig..soon atachinjwa watu wapikie rost.....Kuna maswali matatu kabla sijachangia;
1. Kwa nini Waitara katika wabunge wote waliohama kutoka upinzani ndiyo mbunge wa upinzani pekee aliyepata nafasi ya u-Naibu Waziri ?
2. Kwa nini Waitara anajiamini kiasi hicho kuwa haogopi hata Mwenyekiti wa CCM-Mkoa kugombea na kushinda Jimbo la Tarıme ?
Jibu liko hapa:
Huyu Mwita Waitra amepata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwa
Polepole alisema CC imeamua kuwa kwa majimbo yanayoongozwa na upinzani ni ruksa kuanza vurugu za uchaguzi kabla ya wakati,marufuku ni kwa majimbo yanayoongozwa na CCM, hivyo huyo mhamiaji yupo sahihi.Huyu ni mgeni CCM, anaanza mapema kampeni!, bado haijui CCM, asipojifunza, asubiri atafunzwa!.
P
Duh, mikono yake imejaa damu ya Tundu Lissu.Kuna maswali mawili kabla sijachangia;
1. Kwa nini Waitara katika wabunge wote waliohama kutoka upinzani ndiyo mbunge wa upinzani pekee aliyepata nafasi ya u-Naibu Waziri ?
2. Kwa nini Waitara anajiamini kiasi hicho kuwa haogopi hata Mwenyekiti wa CCM-Mkoa kugombea na kushinda Jimbo la Tarıme ?
Jibu liko hapa:
Huyu Mwita Waitra amepata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda. nyumbani kwa Tundu Lissu. Hivyo kama malipo ya kazı aliyofanya alizawadiwa nafasi ya kuwa Naibu Waziri TAMISEMI. Na ni sababu hiyo hiyo inayomfanya ajiamini kuwa hata Mkutano Mkuu wa Mkoa wa Mara ukimpitisha mtu mwingine, itakapofika kwenye mchakato wa mwisho Jiwe atakata aliyeshinda na kurngiza jina la Waitara.
Sawa hamna shidaNaibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Mwikwabe Waitara amesema hamuogopi mtu hata kama ana kitambi kama pipa, aliyasema hayo katika kikao na wajumbe wa CCM wilayani Tarime alipoendelea kusisitiza adhma yake ya kugombea ubunge wa Tarime Vijijini.
Alienda mbali na kusema hao wanaompinga yeye walikuwa wapi 2014 wakati CCM ikipoteza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?
Pia ameuliza walikuwa wapi wakati CCM ikipoteza majimbo yote mawili ma halmashauri zote? Kasema yeye amejitolea kuipa CCM uhai, na hakuna jiwe ambalo ataacha kuligeuza na haogopi na kutishwa na mtu ndani au nje ya CCM, lazima ashinde na kuwa mbunge wa Tarime Vijijini.
Isikilize video clip attached umsikilize moja kwa moja.
View attachment 1374587
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Mwikwabe Waitara amesema hamuogopi mtu hata kama ana kitambi kama pipa, aliyasema hayo katika kikao na wajumbe wa CCM wilayani Tarime alipoendelea kusisitiza adhma yake ya kugombea ubunge wa Tarime Vijijini.
Alienda mbali na kusema hao wanaompinga yeye walikuwa wapi 2014 wakati CCM ikipoteza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?
Pia ameuliza walikuwa wapi wakati CCM ikipoteza majimbo yote mawili ma halmashauri zote? Kasema yeye amejitolea kuipa CCM uhai, na hakuna jiwe ambalo ataacha kuligeuza na haogopi na kutishwa na mtu ndani au nje ya CCM, lazima ashinde na kuwa mbunge wa Tarime Vijijini.
Isikilize video clip attached umsikilize moja kwa moja.
View attachment 1374587
Umesema yaliyomo yamo,kunaonekana ukweli maana siyo kwa huba hizi za wakuu miongoni kwa suspects wa tukio LA kinyama dhidi ya Mh.Lissu.Kuna maswali mawili kabla sijachangia;
1. Kwa nini Waitara katika wabunge wote waliohama kutoka upinzani ndiyo mbunge wa upinzani pekee aliyepata nafasi ya u-Naibu Waziri ?
2. Kwa nini Waitara anajiamini kiasi hicho kuwa haogopi hata Mwenyekiti wa CCM-Mkoa kugombea na kushinda Jimbo la Tarıme ?
Jibu liko hapa:
Huyu Mwita Waitra amepata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda. nyumbani kwa Tundu Lissu. Hivyo kama malipo ya kazı aliyofanya alizawadiwa nafasi ya kuwa Naibu Waziri TAMISEMI. Na ni sababu hiyo hiyo inayomfanya ajiamini kuwa hata Mkutano Mkuu wa Mkoa wa Mara ukimpitisha mtu mwingine, itakapofika kwenye mchakato wa mwisho Jiwe atakata aliyeshinda na kurngiza jina la Waitara.
Hivi kumbe anabodyguard kabisa.Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Mwikwabe Waitara amesema hamuogopi mtu hata kama ana kitambi kama pipa, aliyasema hayo katika kikao na wajumbe wa CCM wilayani Tarime alipoendelea kusisitiza adhma yake ya kugombea ubunge wa Tarime Vijijini.