Uchaguzi 2020 Waitara: M/kiti CCM Mkoa Mara ana tumbo kama pipa, simuogopi

Ukiwa mgeni katika nyumba za watu na ukawa huna subira hakika unawezajikuta unakalia kifaa Cha kutwangia MAHINDI kwa ajili ya kande😂, waitara anajitutumua ili asikie kama waliomnunua wanajua yupo but ukweli upo wazi hawezi kutoboa kamwe na tarime sio dar.
 
Jamaa ameamua kukimbia Ukonga!? Au ameona itakuwa ngumu kupita kura za maoni? Maana hii ya juzi baada ya kuhama alipitishwa kwa mbeleko ya mwenyekiti.
Ukonga kila anapokatiza wananchi wanamzomeya.
 
Ukiwa mgeni katika nyumba za watu na ukawa huna subira hakika unawezajikuta unakalia kifaa Cha kutwangia MAHINDI kwa ajili ya kande😂, waitara anajitutumua ili asikie kama waliomnunua wanajua yupo but ukweli upo wazi hawezi kutoboa kamwe na tarime sio dar.
Nimecheka sana
 
"Mwenyekiti tumbo kama pipa" by Mwita Waitara. Hakuna hatua kwani huyo ni mwenyekiti wa mkoa amesifiwa.
"Mwenyekiti ni mshamba sana" by Bernard Membe. Huyo fukuza kabisa hayo ni matusi makubwa kwa mtukufu mwenyekiti.
That is CCM mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIASA ZA KITOTO TUMEANGALIA NA KUSIKILIZA HAKUNA MAHALI AMEMTAJA JINA NA MKITI CCM SIO MPINZANI ANAYEZUNGUMZA MAANA HATUNA TAARIFA AMEREJEA CCM

TUNAOMBA HUU UZI UPUUZWE NA JAMII FORUMS ISIKUBALI HUU UCHONGANISHI WA VIONGOZI UZI HAUNA UHALALI WA KUENDELEA KUWEPO KAMA HEADING HAIBADILIKI NA KUONFOA JINA LA KIONGOZI AMBAYW HAJATAJWA
JAMII FORUMS MODERATOR ANGALIENI NA SIKILIZENI MTUJUZE WAPI AMETAJWA MTU JINA???
UKISIKILIZA NA KUANGALIA
Kikao hicho kilichofanyika Mhe Waitara anasema SISI CCM TARIME MTU yeyote anayepambana ili CCM isiweze kukomboa Majimbo ya Bunda, Tarime Mjini na Vijijini SISI CCM tutapambana naye hata kama anatumbo kubwa kama pipa ???

Ukisikiliza MTU huyo hatakuwa ni Kiongozi au Mwanachama wa CCM.

Hivyo kutumia video hiyo kuongeza jina la Mwana CCM au Kiongozi wa CCM sio sahihi.
Hakuna jina lililotajwa na Mhe Waitara TUISIKILIZE NA HATA KUIANGALIA VIZURI.

Na Mhe amesema wapinzani wanaombapana na CCM isishinde hata kama wanatumbo kama pipa hawataiweza ni maneno ya katika siasa ya kuwa na imani kubwa ya kushinda kama jinsi wapinzani wanavyotumia maneno TUTAWAFYEKA.

Ni clip ambayo husikii jina la mpinzani wa CCM isishinde likitajwa na ni mtazamo usio sahihi mkoa wote wa Mara Viongozi na Wanachama wa Upinzani wanaojiapiza wataishinda CCM hata wao hajatajwa MTU jina na hata upotoshaji unaofanyika kuwa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa kamtaja Je yeye hataki CCM ishinde?? Anaitwaje ni yeye wakati yupo kwa ajili ya CCM ishinde wapi ametwajwa ni yeye???? Wakati yeye ndiye anayeongoza Ushindi wa CCM majimbo yote??

Na hata kama kumtaja mpinzani ni kosa ni Kiongozi gani ametajwa jina.

Siasa ni fitna, ni uongo, walioandaa haya maneno wanalolao jambo video inataja wapinzani wao wanageuza kibao kwa Wana CCM mpaka Kiongozi wa CCM tuwapuuze na Jamiiforums ikubali kubadili maneno ya uchonganishi yanaotaja watu ambao hawajatajwa kwa kuwa sio hata wapinzani na jina la mpinzani halitajwa inakuwaje kuwataja CCM katika hoja zilizoelelezwa kwa wapinzani???

="nokwenumuya, post: 34540497, member: 557313"]
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Mwikwabe Waitara amesema hamuogopi mtu hata kama ana kitambi kama pipa, aliyasema hayo katika kikao na wajumbe wa CCM wilayani Tarime alipoendelea kusisitiza adhma yake ya kugombea ubunge wa Tarime Vijijini.

Alienda mbali na kusema hao wanaompinga yeye walikuwa wapi 2014 wakati CCM ikipoteza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

Pia ameuliza walikuwa wapi wakati CCM ikipoteza majimbo yote mawili ma halmashauri zote? Kasema yeye amejitolea kuipa CCM uhai, na hakuna jiwe ambalo ataacha kuligeuza na haogopi na kutishwa na mtu ndani au nje ya CCM, lazima ashinde na kuwa mbunge wa Tarime Vijijini.

Isikilize video clip attached umsikilize moja kwa moja.
View attachment 1374587
[/QUOTE]
 
Huyu ni mgeni CCM, anaanza mapema kampeni!, bado haijui CCM, asipojifunza, asubiri atafunzwa!.
P

Mwenyekiti namba 3 ni Jaluo na huko kuna lile tifutifu la chini la murisha kuongoza waliokata, kwa hiyo huko Mwita ndio hasa kasemea ndugu zake bila woga.
 
[/QUOTE]Umeandika utadhani una tumbo kama pipa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kunywa bia tu, mambo ya kuandika achana nayo kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom