Waitara: NEC ni Tume Huru ya uchaguzi, 2015 niligombea ubunge kupitia CHADEMA Tume Huru ikanitangaza mshindi

Waitara: NEC ni Tume Huru ya uchaguzi, 2015 niligombea ubunge kupitia CHADEMA Tume Huru ikanitangaza mshindi

Sihitaji kusikia chochote kuhusu Waitara kwa jinsi hasivyo na muonekano wa kibunge

Wanaukonga tulimchagua ili angalau basi atumie mshahara na posho za ubunge kungarisha sura yake chakavu lakini imekuwa kinyume chake labda mabadilioko kidogo aliyoyafanya siku hizi ni kwenye kunyoa ndevu na kupaka mafuta ya upako
 
Mfikishie taarifa anachosema niuwongo chadema walitumia mbinu ngumu kumfanya kwa kumsaidia ashinde asije na nyenyenye zake za baani
Shwani
 
NI KWELI WATAKAOSUSA WAJUE TUTAWAPUZA WANAOLALAMIKA NI WALE TUME HII ILIWATANGAZA WASHINDI SASA KWA KUWA WAMESHINDWA KUSIMAMIA ILANI ZAO NA KUWATELEKEZA WANANCHI WANASEMA TUME SIO HURU MAANA WANAJUA WAKIGOMBEA WANANCHI TUNA HASIRA NAO
Watu kama ninyi ndio wa kupuuzwa. Hamjitambui wala hamna akili na uelewa wowote.
Ulevi wa madaraka ni ulevi kama ulevi wowote ule. Viongozi wa kisiasa na wafuasi wao hulewa kiasi cha kudhani dunia ina umbo la tufe na inazunguka kwenye mhimili wake. Sehemu yake isiyomlikwa na jua inakuwa gizani; inapata usiku. Inapomlikwa inakuwa mchana.
Huo ni moja ya miujiza ya uumbaji wa mola.
 
Duh, wanasiasa mungu anawaona.Huyu aipiganiwa Na watu kutangazwa...
 
Back
Top Bottom