SOI MSHUMBUE
Member
- Oct 20, 2019
- 10
- 5
Nyumbani kumenoga tunamsubiri tumpe jimbo hatudanganyi tena HECHE wa vibonzo hatumuhitaji tunahitaji MTU wa kutuchukua hatua na sio mwingine ni Mhe WaitaraAende akawaage kabisa wana Ukonga, maana hapati tena ubunge
Naibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula.
Source: Malumbano ya Hoja mubashara
Huyu jamaa anawaaibisha sana vijana wakakamavu wa kanda maalumu kawa kama wanawake wasiofundwa, haelewi hata anakoelekea anatapatapa na ni mjinga sanaWatu walikesha kulinda kura zake amesahau? Ingekua NEC huru Watu wasingekesha.
Na aulizwe kama kuna raia waliokesha kulinda kura za CCM.Watu walikesha kulinda kura zake amesahau? Ingekua NEC huru Watu wasingekesha.
Please Don't argue with a pathetic hypocritic fool.Watu walikesha kulinda kura zake amesahau? Ingekua NEC huru Watu wasingekesha.
We endelea kunywa bia barabara itakusaidia nini ?Waitara ndo bas tena katika ulingo wa kisiasa. Atalipa usaliti aliowafanyia wapiga kura wake. Hawezi kurudi tena bungeni. Hata udiwani hatopata. Stay tuned
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama ninyi ndio wa kupuuzwa. Hamjitambui wala hamna akili na uelewa wowote.NI KWELI WATAKAOSUSA WAJUE TUTAWAPUZA WANAOLALAMIKA NI WALE TUME HII ILIWATANGAZA WASHINDI SASA KWA KUWA WAMESHINDWA KUSIMAMIA ILANI ZAO NA KUWATELEKEZA WANANCHI WANASEMA TUME SIO HURU MAANA WANAJUA WAKIGOMBEA WANANCHI TUNA HASIRA NAO
Watu walikesha kulinda kura zake amesahau? Ingekua NEC huru Watu wasingekesha.