Mundamushimu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 754
- 432
Jana Waheshimiwa madiwani wawili walihama CDM na wanachama kibao leo tena viongozi wa mkoa, Kata, matawi na wanachama maelfu kwa maelfu wa CDM wamehama na kwenda NCCR Mageuzi
Chanzo TBC ARDHIO
Una tabu wewe au unakohoa kikohozi kikavuWajinga wakiendeleza ujinga wao na kujianika jinsi walivyo vilaza wa kufanya siasa za ushindani
Unamnunulia au ndio uwezo wako wa kifikili unawaza pombe tu. MfyuuuuMwambieni Bara bara ya Moshi Bar Mombasa haifai kabisa.
Aache kuendekeza Bia. Atakuja kudondokea pua
Jana Waheshimiwa madiwani wawili walihama CDM na wanachama kibao leo tena viongozi wa mkoa, Kata, matawi na wanachama maelfu kwa maelfu wa CDM wamehama na kwenda NCCR Mageuzi
Chanzo TBC ARIDHIO
Wajinga wakiendeleza ujinga wao na kujianika jinsi walivyo vilaza wa kufanya siasa za ushindani
Tena midomo wameipaka super glueMakamanda midomo kimyaa.
Huyo kwetu sisi tunamuitaga chapombeMwambieni Bara bara ya Moshi Bar Mombasa haifai kabisa.
Aache kuendekeza Bia. Atakuja kudondokea pua
Hoja dhaifu, mmebaki na mitusi huna la maana mfyuuuuu
Usifikiri maradhi yako kila mtu anayo, pambana na hali yakoUna tabu wewe au unakohoa kikohozi kikavu
Unamnunulia au ndio uwezo wako wa kifikili unawaza pombe tu. Mfyuuuu
Kwa uandishi wako na mahaba yako unapumua kwa shidaUsifikiri maradhi yako kila mtu anayo, pambana na hali yako
In God we Trust
Jana Waheshimiwa madiwani wawili walihama CDM na wanachama kibao leo tena viongozi wa mkoa, Kata, matawi na wanachama maelfu kwa maelfu wa CDM wamehama na kwenda NCCR Mageuzi
Chanzo TBC ARIDHIO
Waitara ni jembeWaitara bila pombe hawezi hata kuongea
In God we Trust
9Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?
Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU!
Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU!
Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine kuwajeruhi kwa risasi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwafukuza na kuwafungia Bungeni wasishiriki vikao vingi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwazulia kesi mbalimbali mahakamani kuanzia ugaidi hadi uchochezi lakini Chadema WAPO TUU!
Na fungakazi ni majuzi wamewahukumu kifungo au faini kubwa sana milioni 350 lakini hakuna hata shilingi ya chama iliyotumika pamoja na kwamba makosa waliyohukumiwa nayo ni ya kikazi, bali chama kinachosemwa kimekimbiwa na watu faini hiyo ilichangiwa na hao hao ndani ya siku NNE. Na Chadema WAPO TUU!
Sasa mtueleze hiyo Chadema mnayo sema ina sambaratishwa ni IPI?
Sent using Jamii Forums mobile app