Kosa kubwa sana alilolifanya Mbowe na vibaraka wake ni kubaka Demokrasia ndani ya Chadema na kurudi tena kwenye Uenyekiti kwa hila.
Kama kuna mtu anayeiua Chadema Mchana kweupe ni Mbowe.
Chadema itarudi nyuma kwa kasi ya ajabu.
Hakuna Chama kinachoweza kuwafukuza Madiwani waliopo kwenye uongozi na Wabunge waliopo kwenye majimbo mwaka wa Uchaguzi halafu hicho chama kitasalimika .
Ni Wavuta bangi tu na wahuni wanakubaliana na uendeshaji wa chama kwa misingi hiyo.
Hata CCM pamoja na kwamba wameshika dola na pesa za nchi hii lakini hawamfukuzi Mbunge kirahisi.
Hapakua na sababu yoyote ya kuwafukuza wabunge kipindi hiki. Ni kosa kubwa sana alilolifanya mbinasi mmoja na mkabila anayeitwa Mbowe.
Chadema hakika itakufa kwenye Maeneo yote yasiayo na kabila na ukoo wa Mbowe. Kila mwenye macho analiona hili.
Mbowe anaendesha Chama kihuni na kijinga kuliko mwenyekiti yeyote labda Yule wa Kiraracha ndiye anaweza akamfuata kwa Mbali sana.
Hivi Chadema walifikiria kwa kutumia nini kumchagua Mbowe kuwa Mwenyekiti kwa awamu ya nne. Hivi Mbowe anaweza kuijenga Chadema Mbeya au ni wana Mbeya wenyewe wanahamasishana kuunga mkono Upinzani?
Hivi Mbowe anaweza kuijenga Chadema Bukoba Mjini kweli? Mbowe !!!!
CCM na ukubwa wake hua inaangushwa kwa kukata watu majina tuu sembuse kumfukuza Mbunge na Madiwani!
Hivi Ukimfukuza Mbunge wa Bukoba Mjini huoni kuwa umewafukuza na wale waliomchagua kwa asilimia kubwa.
Mbunge ana ndugu ,jamaa ,marafiki na watu wanaopata riziki kupitia yeye,sasa akitokea mjinga mmoja alamfukuza ajue wazi kuna watu wengi wanaondoka na huyo Mbunge .
Rwakatare alitoka CUF akatoka na watu wake sasa ni vipi umfukuze wakati alikuja na watu wake!!
Siasa za Kibabe Chadema wanazipiga vita lakini wana Mwenyekiti wa hovyo anayeongoza chama kibabe na kitoto kabisa.
Bora Magufuli ameshtuka kuwa huu upinzani wa Tanzania ni upinzani Uchwara na ikiwezekana aufutilie mbali kwenye sanduku la kura ili vizaliwe vyama vingine tofauti na CCM . Chadema Chini ya Mbowe ni wabaya kuliko CCM. Mbowe alipokua gerezani Chama kiliendeshwa vizuri na kwa utulivu. Mbowe ndiye tatizo kubwa ndani ya Chadema na Taifa kwa ujumla.
Anan'gan'gania uenyekiti mana anajua wazi kuwa Uchaguzi ujao hapati kura za Ubunge hivyo anaona bora akalie Chama.
Naiomba Serikali ije na muswada wa kufuta Ruzuku zote za vyama vyote ili pesa zipelekwe kwenye maendeleo ya watu.
Demokrasia gani ya watu watatu kumfukuza MTU aliyechaguliwa na watu elfu thelathini.!!!
Mbowe ni Mwenyekiti wa hovyo kabisa kabisa na asiyefaa kabisa kukaa na watu wenye akili zao kwa misimamo yake ya kitoto.
Chadema kinapigania Katiba mpya wakati hakiwezi kutekeleza yale yaliyopo kwenye Rasimu ya Warioba .
Moja ya jambo lililopo kwenye katiba mpya ni Mgombea binafsi.
Sasa kuna sababu gani ya kufukuzana kwa lengo tu LA kumvua MTU sifa ya kuwa Mbunge!!
Imefikia wakati sasa kwa Msajili wa vyama kukifuta hiki chama cha Kikabila na cha kihuni.
Sent using
Jamii Forums mobile app