Waitara ni Jembe, aamua kuifuta CHADEMA Mkoa wa Mara

Waitara ni Jembe, aamua kuifuta CHADEMA Mkoa wa Mara

Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?
Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU!

Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU!

Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine kuwajeruhi kwa risasi lakini Chadema WAPO TUU!

Wamekuwa wakiwafukuza na kuwafungia Bungeni wasishiriki vikao vingi lakini Chadema WAPO TUU!

Wamekuwa wakiwazulia kesi mbalimbali mahakamani kuanzia ugaidi hadi uchochezi lakini Chadema WAPO TUU!

Na fungakazi ni majuzi wamewahukumu kifungo au faini kubwa sana milioni 350 lakini hakuna hata shilingi ya chama iliyotumika pamoja na kwamba makosa waliyohukumiwa nayo ni ya kikazi, bali chama kinachosemwa kimekimbiwa na watu faini hiyo ilichangiwa na hao hao ndani ya siku NNE. Na Chadema WAPO TUU!

Sasa mtueleze hiyo Chadema mnayo sema ina sambaratishwa ni IPI?



Sent using Jamii Forums mobile app
well said !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa alikuwa anavizabua viroba kwa kuviweka kichwani, si baadae alianza kuimba zile nyimbo zake?
 
Badala ya kufuta umaskini , ujinga na maradhi anawaza kuifuta Chadema..?

Basi ukiona Kiongozi wa aina hiyo hafai ,

Waulize watu wa Dar es salaam jimbo la Ukonga Barabara kila sehemu ni Mashimo ,hajawahi hata kuwaongelea matatizo yao huko Bungeni.

Wapiga kura wa Tarime kuweni makini na huyo tapeli hafai kabisa kuwa Mbunge wenu.
 
Kama akiwa na akili atafuata ushauri wako
Kijana, ndani ya CCM tokea kale vijana wetu walijawa na weledi na staha. Pia mijadala mingi kijana aliyeisemea CCM (tokea TANU) alisisimua kwa mtiririko wa hoja.
Sasa nyie ni product ipi? Mbona hamna hoja ni post nyingi tuu za kuropokaropoka mpaka chama kinaaibika mitandaoni?
Hebu acheni kufedhehesha chama na sio mbaya kujifunza kwa wenzenu

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Mwambieni Bara bara ya Moshi Bar Mombasa haifai kabisa.
Aache kuendekeza Bia. Atakuja kudondokea pua
Jimbo lake la ukonga ndiyo jimbo linaloongoza kwa miundombinu mibovu zaidi barabara kwa asilimia kubwa yaani nitashangaa kama atachaguliwa tena,sijaona cha maana anachofanya halafu watu wanampa sifa kijinga.
 
Mzee wa njaa kali kazini...naona lile fungu alilopewa tunaona analitumia vizuri.
 
Chadema basi tena na leo wamehama kwenda NCCR Mageuzi Tarime mjini
 
Back
Top Bottom