Mundamushimu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 754
- 432
- Thread starter
- #21
Umenena mkuu9
Eti Chadema wapo tu!
Wapo kwa sababu ya ruzuku.Subiri iishe uone kama watabaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena mkuu9
Eti Chadema wapo tu!
Wapo kwa sababu ya ruzuku.Subiri iishe uone kama watabaki.
Kijana, ndani ya CCM tokea kale vijana wetu walijawa na weledi na staha. Pia mijadala mingi kijana aliyeisemea CCM (tokea TANU) alisisimua kwa mtiririko wa hoja.Furaha ya Watanzania ni kufutwa kwa Chadema October
Hawa vijakazi wa mabeberu tumewachoka
Huyo arudi tena Bongo ashasema anagombea Tarime vijijini kwa Heche...Mwambieni Bara bara ya Moshi Bar Mombasa haifai kabisa.
Aache kuendekeza Bia. Atakuja kudondokea pua
Tangu lini ukawa msemaji wa CCM mkoa wa MaraWaitara hawezi kupenya. Msumari unaanza kuingia chamani. Anakandamizwa msumari chamani kwanza
Hawa wafuasi wa ccm hawajitambui, eti maelfu kwa maelfu wamehama hapa Musoma! Sijui anaongelea Musoma ya Chato au Lumumba?Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?
Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU!
Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU!
Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine kuwajeruhi kwa risasi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwafukuza na kuwafungia Bungeni wasishiriki vikao vingi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwazulia kesi mbalimbali mahakamani kuanzia ugaidi hadi uchochezi lakini Chadema WAPO TUU!
Na fungakazi ni majuzi wamewahukumu kifungo au faini kubwa sana milioni 350 lakini hakuna hata shilingi ya chama iliyotumika pamoja na kwamba makosa waliyohukumiwa nayo ni ya kikazi, bali chama kinachosemwa kimekimbiwa na watu faini hiyo ilichangiwa na hao hao ndani ya siku NNE. Na Chadema WAPO TUU!
Sasa mtueleze hiyo Chadema mnayo sema ina sambaratishwa ni IPI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeishiwa kiasi hiki mzimu wa Dr. Slaa unawaandama
[/QUOT
Huna hoja, huyo Slaa aliondoka chadema na mke wake tu na kuiacha ipo hadi Leo.
Chadema ni kama imani
Tofautisha mkoa wa Mara na mji wa Musoma. Puvumba wewe.Hawa wafuasi wa ccm hawajitambui, eti maelfu kwa maelfu wamehama hapa Musoma! Sijui anaongelea Musoma ya Chato au Lumumba?
Weka pichaJana Waheshimiwa madiwani wawili walihama CDM na wanachama kibao leo tena viongozi wa mkoa, Kata, matawi na wanachama maelfu kwa maelfu wa CDM wamehama na kwenda NCCR Mageuzi
Chanzo TBC ARIDHIO
Waitara anashida ni mlevi wa kupindikia hana pointi na misimamo ni msaka maslahi na fursa. Hata CCM naomba isimuamini sana.Jana Waheshimiwa madiwani wawili walihama CDM na wanachama kibao leo tena viongozi wa mkoa, Kata, matawi na wanachama maelfu kwa maelfu wa CDM wamehama na kwenda NCCR Mageuzi
Chanzo TBC ARIDHIO
Kumbe kuna mahali CHADEMA ilikuwwa na wanachama maelfu?Jana Waheshimiwa madiwani wawili walihama CDM na wanachama kibao leo tena viongozi wa mkoa, Kata, matawi na wanachama maelfu kwa maelfu wa CDM wamehama na kwenda NCCR Mageuzi
Chanzo TBC ARIDHIO