Sherehe ya wauaji walioua raia wasio na hatia mmeikubali, ila sherehe ya wasagaji wanaosagana vijojola vyao wenyewe kwa raha zao maswali mengi?
Huyo si munamtukuza mno humu ndani wakati ni *****Kiranga Mbona hua unatetea vitu vya ajabu sana? Kukaa Majuu ndiyo kumekufanya umekua hovyo hivi?
Kitu cha ajabu gani natetea?Kiranga Mbona hua unatetea vitu vya ajabu sana? Kukaa Majuu ndiyo kumekufanya umekua hovyo hivi?
Tetezi la mashoga na wasagajiKitu cha ajabu gani natetea?
Ajabu ni nini?
Unawezaje kutenganisha hiki kitu cha ajabu kweli, na hiki si cha ajabu, pengine unakiona cha ajabu kwa ujinga wako tu?
Ushawahi kufikiria kuwa kuna vitu unaviona vya ajabu kwa sababu wewe ni mjinga wa mambo fulani tu, ila hivyo vitu si vya ajabu kama unavyofikiri wewe kwa ujinga wako?
Sijawahi kusikia wakijadili kuhusu mauaji ya maelfu ya watu na ufisadi wa mapesa ya nchi.
Lakini kwenye suala la vinyeo wako vizuri haswa, kila mtu anatoa maoni kwa mbwembwe.
Bunge la vinyeo na mada ndogo ndogo.
DuuhTetezi la mashoga na wasagaji
Kuna uwezekano na wewe ni shoga kiranga